Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hao ndio wabishi jadiSubiri sasa wajombe waje kubisha,watakwambia gari ni 2 tu 7 series na S-class basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndio wabishi jadiSubiri sasa wajombe waje kubisha,watakwambia gari ni 2 tu 7 series na S-class basi
Toyota ndio wametaka iwe competitor wa Bimmer na s class za MB. Sasa toyota hio 2020 unakuta bado imeachwa nyuma na bimmer ya 2008 tena sana tu.
Kuna rafiki yangu amenunua 1 series kwa 18M ya 2013 karithishwa na jamaa yake, sasa ununue ist kwa lipi jengine kama sio upatikanaji wa spea rahisi tu 😀 hio 1 series ukiwa umeachia accelerator tu inaatumia battery mpk ukanyage tena, utayakuta wapi mambo kama hayo kwa toyota? labda wakuekee siti za kusogeza mbele na nyuma kwa button 😀 halafu waite luxury.
Jamaa hajitambui huyo...Nimemwambia concept ni moja na lengo ni kusave mafuta analeta ubishi 😂😂😂!Hio ni hybrid ...na kama hujui kwenye hybrid toyota anauza sana kina prius
Hebu cheki hii lexus ya 2019 amabayo iko on Par na BMW 7 series. On top of that its a car that will last for 500k miles bila major issues compared na hio BMW ambayo after 50K mile itakutia umaskini full!
hiyo ni gari ya kazi unakumbuka hizi land rover defender kwann zilisitishwa ,, 2016Achia io ya 2015, bimmer lile 7 series la 2002 watu shingo zinataka kukatika izo crown model ya kati apo haziingii kabisa. Tatizo ndio kama ulivosema umaskini wetu tu na kutokubaliana na service ya haya magari.
Kama una pesa ya nini kununua Fuso la toyota LC200 😀 Yaani ukisikia hio bei sielewi ata kwanini mtu anaacha RR anakimbilia gari sura mbaya interior ya kizamani. Izo LC70 wanazozisifia dashboard tu tangu miaka 80 kama sio 90 afu unauziwa 145M, yaani tofauti yako na mtu alokuwa nayo ya miaka nyuma hamna zaidi ya mwaka wa kutengezwa tu.
Wadau wa Sedan za Toyota watahamia kwenye Toyota Centurion
Wadau wa Toyota Crown watahamia kwenye Toyota Century.
Toyota Century ni mnyama zaidi ya Crown Kwa Tanzania itaogopeka sababu ya fuel consumption.
Hio ni hybrid system nzima kabisa, hicho nlichokieleza hapo sio hybrid, kwa sababu ukikanyaga accelerator unatumia mafuta. Hybrid unaweza kuendesha tuseme mpaka 60mph ukawa unatumia battery na baada ya hapo ndio ukatumia mafuta. So hio feature huwezi kufananisha na hybrid
Watoe tu mbona Rolls Royce walitoa Cullinan na Bentley wakatoa Bentyaga na maisha yanaenda.
Soko la Cross SUV ndio soko linalofanya vizuri zaidi. Watu wanahama kwenye Sedans kwa kasi wanakimbilia kwenye hatchbacks na Cross SUV. Toyota wanaenda kufanya mabadiliko makubwa tu kuna Corrolla imetoka inaitwa Corrolla Cross imesimamia kucha. Model ya 2021
Hio ni hybrid ...na kama hujui kwenye hybrid toyota anauza sana kina prius
Sijui kama mmelewa lakini how it works.....Jamaa hajitambui huyo...Nimemwambia concept ni moja na lengo ni kusave mafuta analeta ubishi 😂😂😂!
Hakuna gari inaendeshwa na battery bila motor!
Usibadilishe chochote kwenye hizo LC200, ila bei nayo usibadilishe na kutaka kuifanya iwe kama luxury car. Iuze kwa bei za nyanya tutaelewa tu.hiyo ni gari ya kazi unakumbuka hizi land rover defender kwann zilisitishwa ,, 2016
Kunamabadiliko yalitakiwa fanyika kwenye hio gari ...na watengenezaji hawakuwa tayari ile gari ya kazi kuanza weka mavitu ya ovyo sijui ma power window, wakaamua bora waache tu ni kama unavotaka lx iwe luxury wabadil dash mara ma tv sijui radio android aah ni ujinga
Ilikuja Brevis ikaondoka. Hata Crown iondoke tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Lengo ni kusave mafuta ila concept ni tofauti, one you can drive with the batteries the other you can't drive, just idling tu.
Bado hujaelewa kabisa 😀 pole sana.Toyota prius unaijua?😁
Ilikuja Brevis ikaondoka. Hata Crown iondoke tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Namaanisha walistop kutoa models mpya mkuu daaah!! [emoji3][emoji3][emoji3]Ikaondoka ikaenda wapi wakati watu bado tunayo huko kitaa ..! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mi naona Brevis iko confortable, stable during driving... Nimetokea kuielewa sana
Mkuu naongelea Toyota hizi tunazopishana nazo mitaani. Manake hata hizo Lexus hazipo bongo. Ni adimu kuliko hata hizo Benz.Toyota mnanunua gari za kisenge kisha mnafananisha na Benz. Check out how Lexus trims kama GS shit on those German money wasting machines in terms of comfort plus reliability.
Kitu Toyota hamfikii mjerumani ni performance wise kwa sababu amestick sana kwenye N/A Engine tofauti na mjerumani ambaye focus yake ni Luxury and perfomance zaidi so ana implement ma Turbochargers sana for high perfomance on roads.
Siku bongo mkiwa na uwezo wa kununua high end toyota brands kama AVALON ama Lexus ndio mtaelewa jinsi gani Toyota yupo serious.
Watakwambia nzuri offroad.Achia io ya 2015, bimmer lile 7 series la 2002 watu shingo zinataka kukatika izo crown model ya kati apo haziingii kabisa. Tatizo ndio kama ulivosema umaskini wetu tu na kutokubaliana na service ya haya magari.
Kama una pesa ya nini kununua Fuso la toyota LC200 😀 Yaani ukisikia hio bei sielewi ata kwanini mtu anaacha RR anakimbilia gari sura mbaya interior ya kizamani. Izo LC70 wanazozisifia dashboard tu tangu miaka 80 kama sio 90 afu unauziwa 145M, yaani tofauti yako na mtu alokuwa nayo ya miaka nyuma hamna zaidi ya mwaka wa kutengezwa tu.
Hata huko Ulaya na Marekani Toyota ameacha kupeleka hilo ngarangara la LC 200.Toyota mnanunua gari za kisenge kisha mnafananisha na Benz. Check out how Lexus trims kama GS shit on those German money wasting machines in terms of comfort plus reliability.
Kitu Toyota hamfikii mjerumani ni performance wise kwa sababu amestick sana kwenye N/A Engine tofauti na mjerumani ambaye focus yake ni Luxury and perfomance zaidi so ana implement ma Turbochargers sana for high perfomance on roads.
Siku bongo mkiwa na uwezo wa kununua high end toyota brands kama AVALON ama Lexus ndio mtaelewa jinsi gani Toyota yupo serious.
Duuuh, mkuu ume generalize moja Kwa moja. Shida ni Toyota ana gari aina nyingi na nyingine kabadili muundo wa body ila injini unakuta zimeshare gari 5.Toyota wanatengeneza magari mabaya sana tena sana.
Sema ni umasikini wetu.
Yani bongo sahivi ukitembea na C Class ya 2015, watu wanageuza shingo. Tupo nyuma sana.