Sijui kama mmelewa lakini how it works.....
Hio BMW haina Hybrid engine. Hybrid car huwa ina combustion engine na Hybrid powetrain yake (kama inatumia battery) yaani, wakati unatumia umeme, inachosukuma gari sio ile combustion engine, kuna motor nyengine ndio inasukuma hio gari.
Hio BMW, haina motor inayosukumwa na umeme. Hio BMW haiendeshwi na battery. Na nimesema hapo juu kuwa ukikanyaga mafuta tu engine inafanya kazi. Kinachotokea hapo ni kuwa engine inazimwa lakini kila kitu ndani ya gari kinafanya kazi kama vile engine haikuzimwa. Hio ni start and stop feature.
Nakumbushia nlichosema hichi hapa "hio 1 series ukiwa
umeachia accelerator tu inaatumia battery mpk ukanyage tena, utayakuta wapi mambo kama hayo kwa toyota?"
Sasa
Extrovert wapi nimesema kuwa hio gari inaendeshwa na battery? mnajichanganya wenyewe tu.