Hili ndio jambo ninalolizungumzia sasa. Toyota anatengeza gari very basic uki compare na wenzake ambao wanaweka more effort.
Power windows are more likely to fail than hizo za kupandisha manual. When it comes to relaibility, hio manual mpaka utakufa wewe. Sasa hizo za umeme tone la maji tu likipenya mara motor imeunguwa. Lakini we both agree kama power windows are efficient na convenience.
Mimi simlaumu mtu wa TZ kuchagua toyota au lexus over BMW/MB. Nina rafiki yangu hapa zenji ana VW imekufa intake manifold sensor tu, kakosa unguja nzima.
Kuna uzi nafikiri wa mshana ule akihimiza watu wahamie kwa mjerumani, michango yangu yote utaona kuwa naponda reliability issues za haya magari na cost of maintainance, lakini when it comes to design, features and tech, Mjerumani aachwe kwanza.