Mwanzo hukuspecify Yaris ipi ndio nikataka kushangaa 106hp iwezane na 335 hp wapi na wapi.Mkuu Toyota Yaris GR ina performance kubwa uwezi kuiwekea IST ni matusi makubwa. Yaris anashindanishwa na Vw Golf na anamtoa kamasi vizuri.
Angalia mwezi huu Yaris alichofanya huko Nurburg Circuit Ujerumani.
Anyways hio GR ni 256hp, ata Supra original haifui dafu apo, ila kwa supra 2020, sifikirii kama 80hp zilizozidi kwe 2020 supra zitashindwa ku compensate for the weight factor. Lakini all in all, what do you expect unapoweka engine kubwa kwenye kibata vuzi? 😀 Chukua engine 2020 supra weka kwenye gari kama Yaris halafu ushindanishe na hio yaris gr uone.