LR ni Luxury brand lakini iko vizuri kwenye offroading, kwanini uende vitani na luxury brand? halafu toyota ni cheap na wana option nyingi ya SUV. Kila kitu kwenye toyota ni cheap compared to LR. Sio spea tu, yaani design na material wanazotumia ni cheap. Huwezi kufananisha na range rover.
Mfano tuchukulie RR sport na Prado. Wewe tizama interior tu ilivo, Prado iko so basic, yaani kama hujaekewa ile screen na kubadilishiwa bodi huna tofauti na anaendesha na prado old. Kwenye toyota hupati feeling kama upo kwenye luxury vehicle sasa kaa ndani ya range rover.
Nchi kuwa na gari nyingi za brand moja ni choice tu ya raia wake, mfano hapa Tanzania tunapenda toyota, ukienda kwa jirani apo Kenya unakutana na ma nissan. Hapo Australia na japani ni magomeni na kariakoo tu. Range mpaka uitoe uingereza ya leo hayo!
Toyota inapendwa kwa engine reliability, upatikanaji wa spea ni rahisi ila price ya magari yao huwezi kujistfy na comparable model ya RR.
In short toyota ni engine tu na gearbox zake ila gari hazina mvuto kabisa ukiweka na RR.