mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
"Hiyo Cullinan ipelekwe Paris to Dakar".Hizo video za youtube usizipe kipaumbele ni mbinu za kibiashara.
South Africa kuna kuwa na Off-road rally Ford Ranger huwa anaburuzwa na Nissan na Toyota.
Hiyo Cullinan ipelekwe Paris to Dakar nchi za America kusini amini utaiona ni mchumba.Lakini Toyota,Nissan wamepambana sana kwenye off road huko Paris-Dakar na kufanya vyema.
Hahah magari ya matozi hayo,kwny off-road ni bure kabisa hapo na ukifanikiwa kurudi nalo salama jiandae kwa matengenezo ya mamilion unless liwe under warrant.