Ukomo wa Toyota Crown Sedan

Ukomo wa Toyota Crown Sedan

Toleo jipya la TDI litawafanya TOYOTA wafikirie upya project yao LC70 kwa sababu ndio alikuwa mpinzani wa Hardtop
Hebu itizame new model land rover defender na new model ya LC70. Land Rover wanajua wanachofanya, toyota anamtesa LR sehemu moja tu, engine reliability ila kwenye design, features na mengine toyota asubiri tu.
 
Pia tukumbuke kuwa hizi crown ambazo zimejaa hapa Tanzania ni za kitambo kuanzia 2005-2013..
Sasa kama matoleo yanaishia mwakani naona bado kuna muda mwingi wa kuendelea kuagiza haya Magari,nahisi bado crown zitaendelea kutumika mpaka mwaka 2030
Haswa,Tena vikiwa mpya kabisa kwa bongo; Verossa was discontinued back in 2004.
 
Hebu itizame new model land rover defender na new model ya LC70. Land Rover wanajua wanachofanya, toyota anamtesa LR sehemu moja tu, engine reliability ila kwenye design, features na mengine toyota asubiri tu.
Niliona review ya TDI new model facebook kwa page ya supercar blondie LR wametoa chombo aisee
1605904611976.png
 
Mkuu hao Land Rover wametoa luxury SUV, Toyota Land Cruiser hatabaki kuwa kileleni Kwa kutengeneza off road na gari za field.
Toyota watamjibu tu, muda sio mrefu. Pita youtube uone fujo ya rolls royce cullinan off road.
 
Hebu itizame new model land rover defender na new model ya LC70. Land Rover wanajua wanachofanya, toyota anamtesa LR sehemu moja tu, engine reliability ila kwenye design, features na mengine toyota asubiri tu.
Land Rover hakupi uhakika ukiwa porini kama Land Cruiser. Hiyo Defender hata wazungu wenyewe hawatonunua Kwa wingi kupeleka kwenye Mission za NATO,UN na AU wanajua hilo ni toto Mayai mayai haliwezi kazi ngumu.

Jiulize kwanini Australia inaongoza Kwa kuwa na Land Cruiser nyingi wakati kuna option nyingi.
 
Pia tukumbuke kuwa hizi crown ambazo zimejaa hapa Tanzania ni za kitambo kuanzia 2005-2013..
Sasa kama matoleo yanaishia mwakani naona bado kuna muda mwingi wa kuendelea kuagiza haya Magari,nahisi bado crown zitaendelea kutumika mpaka mwaka 2030
Huenda ikawa hata zaidi ya 2030, kama carina zilifikia ukomo 2001 lakini hadi leo bado zinaagizwa sembuse kwa crown
 
Land Rover hakupi uhakika ukiwa porini kama Land Cruiser. Hiyo Defender hata wazungu wenyewe hawatonunua Kwa wingi kupeleka kwenye Mission za NATO,UN na AU wanajua hilo ni toto Mayai mayai haliwezi kazi ngumu.

Jiulize kwanini Australia inaongoza Kwa kuwa na Land Cruiser nyingi wakati kuna option nyingi.
LR ndio wametoa hatujaona application zake field, wacha wadau wafield watahamua tu.
 
Toyota watamjibu tu, muda sio mrefu. Pita youtube uone fujo ya rolls royce cullinan off road.
Hizo video za youtube usizipe kipaumbele ni mbinu za kibiashara.
South Africa kuna kuwa na Off-road rally Ford Ranger huwa anaburuzwa na Nissan na Toyota.

Hiyo Cullinan ipelekwe Paris to Dakar nchi za America kusini amini utaiona ni mchumba.Lakini Toyota,Nissan wamepambana sana kwenye off road huko Paris-Dakar na kufanya vyema.
 
Ni off road + luxury
 
Land Rover hakupi uhakika ukiwa porini kama Land Cruiser. Hiyo Defender hata wazungu wenyewe hawatonunua Kwa wingi kupeleka kwenye Mission za NATO,UN na AU wanajua hilo ni toto Mayai mayai haliwezi kazi ngumu.

Jiulize kwanini Australia inaongoza Kwa kuwa na Land Cruiser nyingi wakati kuna option nyingi.
LR ni Luxury brand lakini iko vizuri kwenye offroading, kwanini uende vitani na luxury brand? halafu toyota ni cheap na wana option nyingi ya SUV. Kila kitu kwenye toyota ni cheap compared to LR. Sio spea tu, yaani design na material wanazotumia ni cheap. Huwezi kufananisha na range rover.

Mfano tuchukulie RR sport na Prado. Wewe tizama interior tu ilivo, Prado iko so basic, yaani kama hujaekewa ile screen na kubadilishiwa bodi huna tofauti na anaendesha na prado old. Kwenye toyota hupati feeling kama upo kwenye luxury vehicle sasa kaa ndani ya range rover.

Nchi kuwa na gari nyingi za brand moja ni choice tu ya raia wake, mfano hapa Tanzania tunapenda toyota, ukienda kwa jirani apo Kenya unakutana na ma nissan. Hapo Australia na japani ni magomeni na kariakoo tu. Range mpaka uitoe uingereza ya leo hayo!

Toyota inapendwa kwa engine reliability, upatikanaji wa spea ni rahisi ila price ya magari yao huwezi kujistfy na comparable model ya RR.

In short toyota ni engine tu na gearbox zake ila gari hazina mvuto kabisa ukiweka na RR.
 
Toyota hatabadili kwenye series nyingine ila sio series 70. Series 100, 200 ndio atafanya mbwembwe za luxury na features nyingine.
Yes lc70 bado ni mwamba na ninaikubali zaidi kwenye matoleo yote ya Land cruiser
 
LR ni Luxury brand lakini iko vizuri kwenye offroading, kwanini uende vitani na luxury brand? halafu toyota ni cheap na wana option nyingi ya SUV. Kila kitu kwenye toyota ni cheap compared to LR. Sio spea tu, yaani design na material wanazotumia ni cheap. Huwezi kufananisha na range rover.

Mfano tuchukulie RR sport na Prado. Wewe tizama interior tu ilivo, Prado iko so basic, yaani kama hujaekewa ile screen na kubadilishiwa bodi huna tofauti na anaendesha na prado old. Kwenye toyota hupati feeling kama upo kwenye luxury vehicle sasa kaa ndani ya range rover.

Nchi kuwa na gari nyingi za brand moja ni choice tu ya raia wake, mfano hapa Tanzania tunapenda toyota, ukienda kwa jirani apo Kenya unakutana na ma nissan. Hapo Australia na japani ni magomeni na kariakoo tu. Range mpaka uitoe uingereza ya leo hayo!

Toyota inapendwa kwa engine reliability, upatikanaji wa spea ni rahisi ila price ya magari yao huwezi kujistfy na comparable model ya RR.

In short toyota ni engine tu na gearbox zake ila gari hazina mvuto kabisa ukiweka na RR.
Duuuh, umemuonea Prado kumlinganisha na Range Rover.

Range Rover inatakiwa umlinganishe na Land Cruiser series 200 matoleo kama Zx,Vxr,Sahara na Toyota Lexus L570.Hapo ukipanda V8 unaweza usishuke ukikuta ipo full luxury.

Toyota L/Cruiser Sahara au Toyota Lexus L570 ina mvuto na ni luxury haswa.
 
Range rover sport direct competitor wake ni prado, na range rover vogue direct competitor wake ndio hizo ulizozitaja. Hizo lexus baraka ya grill kubwa na siti za ngozi ndani hazina tofauti na dada yake toyota. Na hio ndio trend yao. Hata ukitizama hizi gari zao za pata sote ndio ivo ivo. Mfano Altezza na Is200. Tofauti nini? unapata same feeling ukiwa ndani ya is200 na Altezza hio hio. Kikubwa walichoweka ni heated seats.

Yaani for a price range inayouzwa hayo ma V8 yao, sio ku compromise on quality materials kabisa. Toyota hawaoneshi kujali sana features na comfortability, kwenye Lexus kidogo ndio wanajifanya kujikaza lakini hata hivo RR kwenye SUV anajua anafanya nini. Yaani ukitizama interior mfano kama dashboard ya Lx/toyota ipo old fashion kabisa. Yaani sioni tofauti na yale v8 old zaidi ya kuwekewa screen. Nikiitizama Lx old model na hii new model, naona tofauti ni body tu but kila kitu kingine ni kile kile cha zamani, nashindwa kuelewa kwanini wana force kuyauza ghali. The only thing Lx na toyota catches the eye, ni the size of the body
 
Hebu itizame new model land rover defender na new model ya LC70. Land Rover wanajua wanachofanya, toyota anamtesa LR sehemu moja tu, engine reliability ila kwenye design, features na mengine toyota asubiri tu.
'Hebu itizame new model land rover defender'

Aisee hio gari ni takataka kabisa from design(shape mbaya kinyamaaa) mpk reliability.

Kuna a/c maarufu huko youtube inaitwa Fast lane car jamaa alinunua hio gari akaenda nayo off-road ya kawaida maana anasema huko alikoenda gari yoyote ile yenye 4wd inaenda,wkt anarudi kwake gari ikamuwashia check engine light kumbuka mpk hapo gari ina Km 270 tu na ina siku mbili tu tangu imenunuliwa,ikabidi ipelekwe kwa dealers kutengenezwa imerudi tena barabarani jamaa anagundua camera za nyuma hazifanyi kazi na kwa US sheria zao kwa sasa ni camera ya nyuma ni lazima ikabidi irudi kwa dealer tena,na anasema mpk muda ule engineers wa LR hawajaweza kutatua tatizo hilo,hawajui shida iko wapi.
 
Back
Top Bottom