Ukomo wa Toyota Crown Sedan

Ukomo wa Toyota Crown Sedan

Mkuu LC 200 na RR ni washindani, sasa huyo LC 200 unayosema hazivutii ndio zinafanya vizuri sokoni na zimeuzwa idadi kubwa kumzidi RR.
Zinafanya vizuri dunia ya 3. Tena wanaonunua ni taasisi au serikali. Middle East wananunua wakazikimbe jangwani.

LC 200 mwakani wataacha kuuza Marekani na Ulaya. Hakuna wateja.

Imebaki Lexus, na inayouza vizuri ni 350, 450.
 
Mkuu LC 200 na RR ni washindani, sasa huyo LC 200 unayosema hazivutii ndio zinafanya vizuri sokoni na zimeuzwa idadi kubwa kumzidi RR.

LC200 iko na space kubwa ndani. Kununuliwa sana haimaanishi kuwa ndio best car per value. Kwa mfano Crown ya 2020 usikie imeuzwa sana, unaanzaje kuifananisha na Bimmer 7 series au MB S Class?

Hapa TZ unaona toyota nyingi kuliko german cars kwa sababu spea za toyota zinapatikana kwa urahisi na bei rahisi. Oil na oil filter inaku cost buku 50 tu, ila bimmer ukiweka izo za buku 50 mara inapata malaria.
 
Gari bonge nyanya.

Ndo Polepole anajitutumua unaijua V8 wewe kumbe mafi tu.

Kuna wakati watu wananunua Benz, Audi au BMW sio kwamba wanaka heshima, ila hizi gari zimetengenezwa vizuri sana.

Kuna mbuzi mmoja juzi ananiambia Toyota Crown ni mbadala wa Merc Benz S Class. Nilitamani nimkate mbata akafie mbele. Nikamwambia Toyota Crown haingii hata entry model ya C Class ya Benz.
Toyota ndio wametaka iwe competitor wa Bimmer na s class za MB. Sasa toyota hio 2020 unakuta bado imeachwa nyuma na bimmer ya 2008 tena sana tu.

Kuna rafiki yangu amenunua 1 series kwa 18M ya 2013 karithishwa na jamaa yake, sasa ununue ist kwa lipi jengine kama sio upatikanaji wa spea rahisi tu 😀 hio 1 series ukiwa umeachia accelerator tu inaatumia battery mpk ukanyage tena, utayakuta wapi mambo kama hayo kwa toyota? labda wakuekee siti za kusogeza mbele na nyuma kwa button 😀 halafu waite luxury.
 
Toyota wanatengeneza magari mabaya sana tena sana.

Sema ni umasikini wetu.

Yani bongo sahivi ukitembea na C Class ya 2015, watu wanageuza shingo. Tupo nyuma sana.
Achia io ya 2015, bimmer lile 7 series la 2002 watu shingo zinataka kukatika izo crown model ya kati apo haziingii kabisa. Tatizo ndio kama ulivosema umaskini wetu tu na kutokubaliana na service ya haya magari.

Kama una pesa ya nini kununua Fuso la toyota LC200 😀 Yaani ukisikia hio bei sielewi ata kwanini mtu anaacha RR anakimbilia gari sura mbaya interior ya kizamani. Izo LC70 wanazozisifia dashboard tu tangu miaka 80 kama sio 90 afu unauziwa 145M, yaani tofauti yako na mtu alokuwa nayo ya miaka nyuma hamna zaidi ya mwaka wa kutengezwa tu.
 
Toyota mnanunua gari za kisenge kisha mnafananisha na Benz. Check out how Lexus trims kama GS shit on those German money wasting machines in terms of comfort plus reliability.

Kitu Toyota hamfikii mjerumani ni performance wise kwa sababu amestick sana kwenye N/A Engine tofauti na mjerumani ambaye focus yake ni Luxury and perfomance zaidi so ana implement ma Turbochargers sana for high perfomance on roads.

Siku bongo mkiwa na uwezo wa kununua high end toyota brands kama AVALON ama Lexus ndio mtaelewa jinsi gani Toyota yupo serious.
 
Toyota wana HYBRiD Synergy Drive inayopush gari kwa umeme na mafuta. It does the same function. Kwahio hamna geni hapo, hujapata kushuhudia gari inayoenda kwa mafuta ya 25,000 Dar-Moshi.
 
Tafta Lexus ndio ufanye comparison na hio gari. Lexus ndo division inayo deal na Luxury vehicles.
 
Hio ni hybrid system nzima kabisa, hicho nlichokieleza hapo sio hybrid, kwa sababu ukikanyaga accelerator unatumia mafuta. Hybrid unaweza kuendesha tuseme mpaka 60mph ukawa unatumia battery na baada ya hapo ndio ukatumia mafuta. So hio feature huwezi kufananisha na hybrid
 
Hata Lexus kwa RR hamna kitu. Umebadilishiwa taa na grill shape ya body (which is still ugly btw), umewekewa features za kawaida ndani ambazo zilitakiwa ziwe standard kwa lc200 na ile price yake,

Unajua nyie kinachowashtua kwenye hizo lexus na Lc200 ni nini? Ukubwa wa body tu. Unaona limejaa manyama pana pana ivi unaanza kutishika 😀
 
Gari bonge nyanya.

Ndo Polepole anajitutumua unaijua V8 wewe kumbe mafi tu.

Kuna wakati watu wananunua Benz, Audi au BMW sio kwamba wanaka heshima, ila hizi gari zimetengenezwa vizuri sana.

Kuna mbuzi mmoja juzi ananiambia Toyota Crown ni mbadala wa Merc Benz S Class. Nilitamani nimkate mbata akafie mbele. Nikamwambia Toyota Crown haingii hata entry model ya C Class ya Benz.

'Nikamwambia Toyota Crown haingii hata entry model ya C Class ya Benz.'

Hahah kukariri ni kubaya sana aisee,watu kama nyie unakutaga mtu anatamba mjini mimi ninamiliki benz/bmw ukimuuliza ipi babu?anakwambia Benz w203/ Bimmer e46 nachekaga sana.

Pengine haujui Lexus Ls 400 ndio ilikua benchmark ya Mercedes S-Class,Bmw 7-series,Jaguar Xj6.

Lastly,nasikitika kukujulisha Benz E-class hua inatumika kama Taxi huko Asia,Europe na hata Morroco,kwny nchi choka mbovu ndipo gari kama hio inaonekana ni ya maana.
 
Toyota mnanunua gari za kisenge kisha mnafananisha na Benz. Check out how Lexus trims kama GS shit on those German money wasting machines in terms of comfort plus reliability.

Kitu Toyota hamfikii mjerumani ni performance wise kwa sababu amestick sana kwenye N/A Engine tofauti na mjerumani ambaye focus yake ni Luxury and perfomance zaidi so ana implement ma Turbochargers sana for high perfomance on roads.

Siku bongo mkiwa na uwezo wa kununua high end toyota brands kama AVALON ama Lexus ndio mtaelewa jinsi gani Toyota yupo serious.
Watu wanakariri mbaya kabisa mzee baba yaani wao wakisikia tu Benz/Mercedes basi wanajua ni gari ya maana sana.
 
Hio ni hybrid system nzima kabisa, hicho nlichokieleza hapo sio hybrid, kwa sababu ukikanyaga accelerator unatumia mafuta. Hybrid unaweza kuendesha tuseme mpaka 60mph ukawa unatumia battery na baada ya hapo ndio ukatumia mafuta. So hio feature huwezi kufananisha na hybrid
Concept si ile ile lakini mzee? Issue ni kusave mafuta.
 
Watu wanakariri mbaya kabisa mzee baba yaani wao wakisikia tu Benz/Mercedes basi wanajua ni gari ya maana sana.
Hebu cheki hii lexus ya 2019 amabayo iko on Par na BMW 7 series. On top of that its a car that will last for 500k miles bila major issues compared na hio BMW ambayo after 50K mile itakutia umaskini full!
 
Toyota wanatengeneza magari mabaya sana tena sana.

Sema ni umasikini wetu.

Yani bongo sahivi ukitembea na C Class ya 2015, watu wanageuza shingo. Tupo nyuma sana.

Toyota wanatengeneza magari mabaya sana tena sana.

Sema ni umasikini wetu.

Yani bongo sahivi ukitembea na C Class ya 2015, watu wanageuza shingo. Tupo nyuma sana.

Vipi ukitembea na crown ya 2015 hapa Bongo kuna uwezekano watu wasigeuke sii?
 
Hebu cheki hii lexus ya 2019 amabayo iko on Par na BMW 7 series. On top of that its a car that will last for 500k miles bila major issues compared na hio BMW ambayo after 50K mile itakutia umaskini full!
Subiri sasa wajombe waje kubisha,watakwambia gari ni 2 tu 7 series na S-class basi
 
Mkuu link hii hapa ambayo ina malalamiko ya new Land Rover Defender.
Hii chombo haitokuwa na maisha nasikia hata injini wametumia aina nyingine ambayo ni mpya.

Hii ikipelekwa njia korofi na za kibabe kama Dakar Rally Route ya South America au Africa km 4000 itarudi imepakiwa kwenye roli.
Hio kitu ni takataka kabisa mzee baba,acha mhindi aendelee kuwapiga vizuri tu hao wapenzi wa L/rover.
 
Back
Top Bottom