Ukondefu unaninyima amani nifanyeje ili nipate walau vinyama kidogo

Cbinadamu hatuna jema
 
🀣🀣Mwambie troublemaker namsalimia.
 
Mkuu daah Hawa wanawake Ni balaaa nikinyoa nywele utasikia mmhhh hata hujapendeza bichwa baya nikianza kufunga mwele utasikia mhhhh yaan kama tapeli flani hv sijui wanatakaga Nini haswa
 
Mkuu acha kudreamatise kwenye issue ya msingi
 
[emoji3][emoji3]Sasa mbona wewe mnene mkuu embu acha masihara halafu shukuru wewe ni mfupi. Sisi ni vimbau mbau halafu ni warefu.
Apana mkuu mwili wangu na postion yangu katika jamii, na kimaisha ni vitu viwili tofauti kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wembamba sio dhambi jikubali tu jamani

Au fanya hivi

Tengeneza smoothie
[emoji529]1
[emoji1649] Kipande
[emoji479]1 cup(ya n'gombe)
2 tsp peanut butter
Tengeneza smoothie uinywe kila siku utaona kamwili kanaongezeka mdogomdogo usisahau kula na vinyama vya kuku kwa wingi

[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Mkuu daah Hawa wanawake Ni balaaa nikinyoa nywele utasikia mmhhh hata hujapendeza bichwa baya nikianza kufunga mwele utasikia mhhhh yaan kama tapeli flani hv sijui wanatakaga Nini haswa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Hawa watu sijui vichwa vyao vina matatizo gani yani!!! Kumbe matatizo sipati pekeangu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…