Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tatzo huko siko mimi kwa sasa! Tayari ninafamilia kwa hiyo sihitaji tena warembo wa kufanya hivyo saizi nataman niingie katika hatua nyingine ya kimaisha as well as muonekano...! Ukumbuke hata ukiwa vipi lakini mwonekano wako ukiwa wa namna flani bado utaonekana tu ni kijana mhuni kama sis wenyewe watanzania tulivyojijengea dhana hizo!Nyie wembamba si ndio sukari ya warembo kwamba show zenu za kibabe zaidi, wenzenu tunajizuia kunenepa
Haya matatizo kwa weng na sijui yule nyoka alimfanya nn Eva maana duuh hawasikii la mwazini Wala la mnad swala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa watu sijui vichwa vyao vina matatizo gani yani!!! Kumbe matatizo sipati pekeangu tu.
Hahahaaa haa unazingua Unforgetable: Ni kweli mwili wangu ulikuwa smart sana kwa kipind hiko nikiwa katika maisha hayo ya favourite yake ila kwa sasa mwili wangu na postion yangu ni vitu viwili visivyokaribiana hata kidogo[
Ts not about position o wadhifa ni kuridhika tu unachohitaji ni motivation ya mrembo wenzio wanajiona simba kumbe ni paka
Hatari sana.Haya matatizo kwa weng na sijui yule nyoka alimfanya nn Eva maana duuh hawasikii la mwazini Wala la mnad swala
Boy yaan weng tuna miili ya wastan tu na tuna familia kama wew tu yaan ila nilikutana na mzee mmoja akaniuliza age nikamwambia hakuamini alichonijibu niendeleee kutunza mwili wangu mm Ni mtu wa dogo saana najijenga kimwili uwe strong zaidi.na ninapiga dili zozote zile na watu wakubwa wakubwa tuMkuu tatzo huko siko mimi kwa sasa! Tayari ninafamilia kwa hiyo sihitaji tena warembo wa kufanya hivyo saizi nataman niingie katika hatua nyingine ya kimaisha as well as muonekano...! Ukumbuke hata ukiwa vipi lakini mwonekano wako ukiwa wa namna flani bado utaonekana tu ni kijana mhuni kama sis wenyewe watanzania tulivyojijengea dhana hizo!
Anza kufanya mazoezi, mazoezi yana stimulate misuli kutumia chakula unachokula hivyo husaidia kuongeza ukubwa wa mwili.HABARI WAKUU.
Wakubwa kwa Wadogo salamu kwenu
Mimi ni kijana mwenye 28 years..!
Tatzo langu ni uwembamba uliopitiliza natamani walau na mimi niwe na vinyama kidogo. Nakumbuka mwaka jana niliwahi kupima uzito wangu nikawa 48kg uzito wa Jogoo la kienyeji iliniuma sana nilikaa wiki zima nikitafakari hatma ya afya yangu hadi hapo nilipoenda kupima magonjwa yote nikakutwa nipo smart sina tatzo la kiafya!
Nikaamua kujianzishia Dozi ya kula matunda kila baada ya chakula na mara kwa mara hali ambayo ilikuwa inanigalimu kila siku kutumia galama zaidi ya elfu kumi 10,000 kwa ajili ya Kuimalisha Afya yangu pia nilipata ushauri wa kula kitimoto na Bia moja kila siku! Hali ambayo sikuona shida nilikuwa nafanya hivyo hadi kujikuta nakuwa mlevi wa bia, Maana nilikuwa nakunywa bia moja kwa ajili ya Afya ila hatmae nikajikuta nakunywa bia zaidi ya 5 kwa siku maana tabia ya Bia nilikuwa nikinywa moja natamani kuongeza nyingine na nyingine hadi nikajikuta nakuwa mlevi pasipo kukusudia hali hii ilikuwa inanipelekea kukosana na watu wanaonizunguka kila nikinywa pombe nawatambia majirani zangu kuwa hawana hela na kusababisha fujo hadi nyumbani kwangu! Ikabidi nijishauri mwenyewe nakuacha dozi hii kwa sasa situmii tena.
Ila katika kumbukumbu zangu kipindi nafanya haya walau nilianza kuona mabadiliko kidogo ya afya mwilini mwangu nikaanza kutokeza kakitambi kwa mbali na kunenepa shavu na nilipopimwa uzito nilikuwa nimefikisha 60Kg hadi watu walianza kuniambia nimenenepa pasipokujua hiyo hali inaniingiza galama kiasi gani!
Nilikuwa nimeanza kunyanyua kakibanda kangu ila nilisimamisha shughuli ya ujenzi, pesa yote niliokuwa napata katika mihangaiko yangu ikawa inatumika kwa ajili ya kufanyia kile ninachokitamani, baada ya kuacha tena dozi hii kwa sasa nimepururuka vibaya mno jana nimepima uzito nakuta 52kg tu na kila kukicha nazidi kukonda tena!
Nimeamua kuja hapa ili wataalamu mnipe namna ambayo itakuwa si ghali sana ambayo nitatumia ili ninenepe huu ukondefu unaninyima michongo mingi sana!
Atakaeweza kunisaidia nipo tayari kumlipa!
huo mwili wako mkuu upo vzr sana eb jikubali alf fungua moyo wako jipende ulivyo yn mbn hauna shida mkuu alf raha ya miili ya hivyo hamzeeki kbs yan upo vzr sana kuwa na amanMkuu tatzo huko siko mimi kwa sasa! Tayari ninafamilia kwa hiyo sihitaji tena warembo wa kufanya hivyo saizi nataman niingie katika hatua nyingine ya kimaisha as well as muonekano...! Ukumbuke hata ukiwa vipi lakini mwonekano wako ukiwa wa namna flani bado utaonekana tu ni kijana mhuni kama sis wenyewe watanzania tulivyojijengea dhana hizo!
Sasa unataka unenepe zaidi ya hapa uende wapMimi huyooView attachment 1172843
😀😀😀😀Wanaoitaji picha N.B mahitaji msaada sereously huu wembamba unaninyika michongoView attachment 1172849
Mimi ni mwembamba sana ila nina kilo nyingi sana hili ni tatizo ?Ukitaka kupungua uzito ukitoa pombe na nyama kwenye ratiba yako umefanikiwa
Hapana si tatizo,Mimi ni mwembamba sana ila nina kilo nyingi sana hili ni tatizo ?
Jamaa mwili unamkosesha michongo heavy!!! Sijui michongo gani hiiWeee Jamaa acha kumkufuru Mungu unawajua vimbaumbau wewe????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mamaee mpaka misuli naiona unataka Ubonge upeleke wapi????? Sasa huo ulionao ndo mwili wa kiume labda kama demu wako kasema usiponenepa anakuacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukapagawaa ukaja mbiombio huku kuomba ushauri kwa kitu cha kijinga..
UBONGE HAULIPI...huo ndo mwili wa kiume acha kuendeshwa na MWANAMKE.
Picha tafadhaliJamaa angu jikubali wewe ni mnene, acha kujipa stress kua we mwembamba, kuna watu ni vimbau mbau hadi tukitembea upepo ukipita tunakaa chini kuepusha kudondoka.
Niambie kiongoZiDogo.
We ni mwanaume?Na Mimi nilikuwa mwembamba ila baada ya kutumia dawa za kuongoza hamu ya kula duuh Sasa hivi Nina kg 80 na mwili smarat.