Ukondefu unaninyima amani nifanyeje ili nipate walau vinyama kidogo

Nyie wembamba si ndio sukari ya warembo kwamba show zenu za kibabe zaidi, wenzenu tunajizuia kunenepa
Mkuu tatzo huko siko mimi kwa sasa! Tayari ninafamilia kwa hiyo sihitaji tena warembo wa kufanya hivyo saizi nataman niingie katika hatua nyingine ya kimaisha as well as muonekano...! Ukumbuke hata ukiwa vipi lakini mwonekano wako ukiwa wa namna flani bado utaonekana tu ni kijana mhuni kama sis wenyewe watanzania tulivyojijengea dhana hizo!
 
Haya matatizo kwa weng na sijui yule nyoka alimfanya nn Eva maana duuh hawasikii la mwazini Wala la mnad swala
 
 
Boy yaan weng tuna miili ya wastan tu na tuna familia kama wew tu yaan ila nilikutana na mzee mmoja akaniuliza age nikamwambia hakuamini alichonijibu niendeleee kutunza mwili wangu mm Ni mtu wa dogo saana najijenga kimwili uwe strong zaidi.na ninapiga dili zozote zile na watu wakubwa wakubwa tu

Cha msingi akili ipo kichwani
 
Anza kufanya mazoezi, mazoezi yana stimulate misuli kutumia chakula unachokula hivyo husaidia kuongeza ukubwa wa mwili.
Kitambi sio kitu cha kufurahia.
 
huo mwili wako mkuu upo vzr sana eb jikubali alf fungua moyo wako jipende ulivyo yn mbn hauna shida mkuu alf raha ya miili ya hivyo hamzeeki kbs yan upo vzr sana kuwa na aman
 
Wanachokosea watu ni kudhan kula nyama sjui nin ndo utanenepa kunenepa kunatokana na
1.kula chakula kiingi yan haijalish nyama,dagaa ,maharage,yaan kama ni sahan bas ipitilize
2.kupumzika,yaan usifanye shuruba,mda mwing uwe umepumzika kitu ambacho si rahis
3.stress free

Hapo lazma unenepe mjomba
 
Jamaa mwili unamkosesha michongo heavy!!! Sijui michongo gani hii
 
Nimekuelewa, I've been there myself. Metabolism yako ipo fast sana chamsingi unachotakiwa kujua ni kwamba kula chakula kingi peke yake hakutakusaidia kunenepa at least sio ndani ya muda mfupi kama unavyohitaji, zaidi yake utapata kitambi na mafuta maeneo ya kiunoni huku mikono na mikuu ikibaki skinny. Kitu kikubwa ninacho recommend ni kujenga misuli mwilini ambayo itakupa muonekano unaoutaka.

Ushauri wangu tafuta local gym yoyote iliyo karibu yako jisajili uanze kunyanyua vyuma. Utakuta kuna wataalamu/trainers ambao watakupa msaada kwa siku za mwanzo ili uzoee vifaa pamoja na aina ya mazoezi kulingana na mwili wako. Kama ukifanya mazoezi kwa uaminifu na kula vizuri ndani ya mwezi mmoja utaongeza kilo, mikono itaanza kujaa na hata kifua kitu kitakacho kumotivate kuendelea zaidi na zaidi.

Kwa kumalizia. Mwili wako unahitaji kubwa la calories kwa hiyo nzuri zaidi in my opion ni kujenga muscles. Otherwise, kuna miaka ikifika mwili unanenepa tu wenyewe Kila la heri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…