Ukongwe / legend inakujaga pale msanii au producer anapotea sokoni na kazi zake hazisikiki redioni wala kutrend mitandaoni, hii ni mifano bongo fleva

Ukongwe / legend inakujaga pale msanii au producer anapotea sokoni na kazi zake hazisikiki redioni wala kutrend mitandaoni, hii ni mifano bongo fleva

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
Ukongwe unakujaga pale unapopotea sokoni & husikik Radion wala mitandaoni, Lakini kama bado msanii anatoa ngoma zenye impact ni ngumu kuitwa mkongwe (mfano kwa Ali Kiba na Diamond walioanza kuhit kabla ya 2010 na bado wapo).

Mifano ya legends / wakongwe

Wasanii.

20 Percent
Lady Jay Dee
Ray C
Mb Dogg
Matonya

Producers

P Funk
Master J
Mandugu digital
Man walter
 
Hata hao ulio wataja miaka 20 mbele watakua wakongwe tuu
 
Ukongwe unakujaga pale unapopotea sokoni & husikik Radion wala mitandaoni, Lakini kama bado msanii anatoa ngoma zenye impact ni ngumu kuitwa mkongwe (mfano kwa Ali Kiba na Diamond walioanza kuhit kabla ya 2010 na bado wapo).

Mifano ya legends / wakongwe

Wasanii.

20 Percent
Lady Jay Dee
Ray C
Mb Dogg
Matonya

Producers

P Funk
Master J
Mandugu digital
Man walter
Hiyo ni tafsiri ya huku kwetu. Legend ni mtu aliyeko kwenye fani yake kwa muda mrefu, haijalishi kama bado anaendelea au la. Baadhi ya majina uliyotaja hapo hawastahili kuitwa legends, hawana body of work wala hawakukaa kwenye fani kwa muda mrefu kihivyo. Diamond na Ali Kiba wanastahili kuitwa legends, lakini huku kwetu ni mpaka watakapoacha muziki ndio wataanza kuitwa legends, kitu ambacho ni potofu. Dr Dre, Paul McCartney, Steve Wonder, The Rolling Stones na Madonna ni majina machache ya mfano wa legends lakini bado wako kwenye fani mpaka leo. Being a legend is about longevity and body of work.
 
Ukongwe unakujaga pale unapopotea sokoni & husikik Radion wala mitandaoni, Lakini kama bado msanii anatoa ngoma zenye impact ni ngumu kuitwa mkongwe (mfano kwa Ali Kiba na Diamond walioanza kuhit kabla ya 2010 na bado wapo).

Mifano ya legends / wakongwe

Wasanii.

20 Percent
Lady Jay Dee
Ray C
Mb Dogg
Matonya

Producers

P Funk
Master J
Mandugu digital
Man walter
Go back in your dictionary and learn the meaning of "Legend".
 
Back
Top Bottom