Nina uchungu.
Hakuna mzee hata mmoja wa kuonya Mkapa, Mwinyi hawapo.
Mzee Mkapa ndiye alikuwa anauthubutu wa kusema wazi na kukemea yeyote kwenye nchi hii ukitoa Baba wa Taifa.
Kwa sasa nchi haina powerful end say, ndiyo tujifunze kushabikia wanasiasa vizuri.
Nchi haina baba na waliopo ndiyo haya anaotokea. Bahati mbaya watanzania tunaamshwa ila bado tunaota majahazi yanamwaga samaki baharini.
Nani kamloga mwenzake?.
Hatuna mzee wa kukemea nchini, nasema hatuna mzee kwa sasa, nchi imebaki ukiwa!.Mtu aliepaswa kusema,kutoa kauli yenye kukemea huu uozo ni Jakaya Kikwete.......
Lakini kwa bahati mbaya ni kwamba yeye ndie kinara wa haya yoote!
Yeye ndie mshauri wa Samia!
JK ndie mzee mwandamizi kwenye vikao vya CCM.
JK ndie anaongoza kwa remote maamuzi mengi kati ya haya tunayoyalalamikia kwa sasa!
Tena huyo Mzee ndie kinyesi kilichooza.Hatuna mzee wa kukemea nchini, nasema hatuna mzee kwa sasa, nchi imebaki ukiwa!.