Ukoo wa Kivuruga wapewa barabara Tabora

Ukoo wa Kivuruga wapewa barabara Tabora

Freshman...
Ukisema hivyo utaleta ubishi mkubwa sana kwani utatakiwa utoe takwimu na Tanzania haijachukua takwimu za dini toka mwaka wa 1970.

Utaulizwa umejuaje kuwa Waislam wachache au Wakristo wachache?
Zogo litakuwa kubwa sana kwani umegusa mahali nyeti sana.

Wakristo ni 76%hili halina ubishi labda wale wazee wa gawaha wanaweza kubisha kiduchu lakini ukweli upo wazi.
 
UKOO WA KIVURUGA UMEPEWA BARABARA TABORA

Katika moja ya koo maarufu Tabora ni ukoo wa Kivuruga.

Ndugu wawili Maulidi na Abdallah Kivuruga ni watu waliokuwa mashuhuri Tabora mjini katika siasa na harakati za kupeleka mbele Uislam.

Wananchi wa Tabora katika mradi wa Anuani na Makazi wametumia fursa hii kwa kuenzi ukoo wa Kivuruga kwa yale waliyofanya katika kuunda African Association na TANU kupigania uhuru wa Tanganyika.

PICHA: Kulia ni Abdallah Kivuruga na kushoto ni Maulidi Kivuruga.

View attachment 2391159View attachment 2391254
wala si issue mbona hata mi wamenipa mtaa kisa tu huwa nachonga barabara kila mwaka na kutoa hela ya ulinzi shirikishi.
 
Napenda sana post zako za historia hasa za waislamu wa sehemu mbali mbali.

Binafsi najiuliza. Uislamu ulitangulia kufika Tanganyika na zanzibar kwa miaka zaidi ya 800. Inasemekana mwaka 1000 uislamu tayari umeshakuja africa mashariki.. huku ukristo umekuja miaka ya 1800s

Najiuliza kwa nini uislamu ulienea kwa watu wachache zaidi huku ulikuwa na advantage ya kutangulia kufika..

Kwa nini leo katika nchi zote za africa mashariki ikiwemo Tanzania yetu idadi ya waislamu ni ndogo kuliko wakristo. Huku ukristo umechelewa sana kuja..
Nadhani ukolon wakizugu ndiyo tatizo hapa, wazungu baada ya kuanzisha serikari zao walipelekea influx kubwa sana ya missionaries katka makoloni

Shughuri za wanadini hawa zilijikita maeneo ya mashambani na ujenzi wa makanisa nao ukatamaraki uku wakipata msaada mkubwa kutoka colonial governments

Uislamu ulishamiri sana maeneo yamisafara na vituo vya biashara huku maeneo ya mashambani kukikosa Huduma hiyo ya kiroho
 
Kim...
Tatizo kubwa ninaloliona hapa ni wachangiaji kukosa elimu ya kutosha kuhusu somo wanalotaka kuchangia.

''Influx kubwa'' ipi?
Unazo takwimu?

Umefanya utafiti wowote kuhusu hili somo?

Unajua historia ya hawa wamishionari mfano wa Krapf na wenzake waliingiaje Pwani ya Afrika ya Mashariki?

Yapo mengi unahitaji kujifunza kwanza kabla hujaingia katika mjadala.

1666808063013.jpeg
 
View attachment 2398725
Nenda Fanya utafiti mikoa ya Kanda ya ziwa, mikoa ya kusini na kanda ya kaskazini, je kati ya makanisa na misikiti kipi kipo kwa Wingi?. Ukipata majibu utajua ninilikuwa namaanisha. Mtizamo wako nauheshimu pia
 
Kanuni za utafiti haziendi hivyo.

Huwezi kupata matokeo ya kuaminika ikiwa utafanya utafiti kuwa kuchagua sehemu maalum yaani kuwa ''selective.''

Inatakiwa ufanye hivyo kote nchi nzima.

Mimi sina mtizamo wowote mimi nakwenda kwa utafiti uliokamilka na huo utafiti unapotoa majibu ndiyo unakuwa mtazamo wangu.

Umesoma yale majibu niliyotoa Chuo Kikuu Cha Iowa kuhusu mjadala kama huu?

Soma # 9.
 
Mjadara unataka kuegemea kwenye udini. Kwa upande wangu sina imani na dini zilizoletwa na wazungu na waarabu. Kwahyo hatutaelewana

Ila ukiangalia karibu mikoa yote yenye watu wengi kuitoa dar, makanisa ni mengi kuliko misikiti
 
''Mjadala.''

Unaposema ''udini,'' naamini unakusudia Uislam.
Hapana sina ujuzi wa kuweza kujadili dini yoyote.

Hili limekuwa tatizo kubwa nchini petu.
Ukiandika lolote kuhusu Uislam basi hapo jibu ni ''udini.''

Hilo kutoelewana inategemea akili ya mtu.
Uwezo wa kufikiri unatofautiana.

Kitabu hicho hapo chini nimeandika baada ya kugundua kuwa historia ya uhuru wa Tanganyika iliyokuwa imetamalaki haiko sawa.

Wahusika wakuu wa harakati hizo wamefutwa katika historia hiyo.
Nini sababu ya kufutwa hao wazalendo?

Nilipoandika kitabu hicho kusahihisha historia hiyo malalamiko yakawa ni ''udini.''

1666844385824.jpeg
 
Waisrael wapo kidogo Sana kulinganisha na mamilioni ya Waarabu lakini bado anawatawala!
Uzalendo...
Nadhani umekusudia kuwa Wayahudi wameshinda vita vyote dhidi ya Waarabu ila walipopigana na Hizbullah.

Nchi zote za Kiarabu ziko huru zinajitawala wenyewe.
 
Back
Top Bottom