Ukoo wa Kivuruga wapewa barabara Tabora


Wakristo ni 76%hili halina ubishi labda wale wazee wa gawaha wanaweza kubisha kiduchu lakini ukweli upo wazi.
 
wala si issue mbona hata mi wamenipa mtaa kisa tu huwa nachonga barabara kila mwaka na kutoa hela ya ulinzi shirikishi.
 
Nadhani ukolon wakizugu ndiyo tatizo hapa, wazungu baada ya kuanzisha serikari zao walipelekea influx kubwa sana ya missionaries katka makoloni

Shughuri za wanadini hawa zilijikita maeneo ya mashambani na ujenzi wa makanisa nao ukatamaraki uku wakipata msaada mkubwa kutoka colonial governments

Uislamu ulishamiri sana maeneo yamisafara na vituo vya biashara huku maeneo ya mashambani kukikosa Huduma hiyo ya kiroho
 
Kim...
Tatizo kubwa ninaloliona hapa ni wachangiaji kukosa elimu ya kutosha kuhusu somo wanalotaka kuchangia.

''Influx kubwa'' ipi?
Unazo takwimu?

Umefanya utafiti wowote kuhusu hili somo?

Unajua historia ya hawa wamishionari mfano wa Krapf na wenzake waliingiaje Pwani ya Afrika ya Mashariki?

Yapo mengi unahitaji kujifunza kwanza kabla hujaingia katika mjadala.

 
Nenda Fanya utafiti mikoa ya Kanda ya ziwa, mikoa ya kusini na kanda ya kaskazini, je kati ya makanisa na misikiti kipi kipo kwa Wingi?. Ukipata majibu utajua ninilikuwa namaanisha. Mtizamo wako nauheshimu pia
 
Nenda Fanya utafiti mikoa ya Kanda ya ziwa, mikoa ya kusini na kanda ya kaskazini, je kati ya makanisa na misikiti kipi kipo kwa Wingi?. Ukipata majibu utajua ninilikuwa namaanisha. Mtizamo wako nauheshimu pia
Kim...
Kanuni za utafiti haziendi hivyo.

Huwezi kupata matokeo ya kuaminika ikiwa utafanya utafiti kuwa kuchagua sehemu maalum yaani kuwa ''selective.''

Inatakiwa ufanye hivyo kote nchi nzima.

Mimi sina mtizamo wowote mimi nakwenda kwa utafiti uliokamilka na huo utafiti unapotoa majibu ndiyo unakuwa mtazamo wangu.

Umesoma yale majibu niliyotoa Chuo Kikuu Cha Iowa kuhusu mjadala kama huu?

Soma # 9.
 
Mjadara unataka kuegemea kwenye udini. Kwa upande wangu sina imani na dini zilizoletwa na wazungu na waarabu. Kwahyo hatutaelewana

Ila ukiangalia karibu mikoa yote yenye watu wengi kuitoa dar, makanisa ni mengi kuliko misikiti
 
Mjadara unataka kuegemea kwenye udini. Kwa upande wangu sina imani na dini zilizoletwa na wazungu na waarabu. Kwahyo hatutaelewana

Ila ukiangalia karibu mikoa yote yenye watu wengi kuitoa dar, makanisa ni mengi kuliko misikiti
Kim...
''Mjadala.''

Unaposema ''udini,'' naamini unakusudia Uislam.
Hapana sina ujuzi wa kuweza kujadili dini yoyote.

Hili limekuwa tatizo kubwa nchini petu.
Ukiandika lolote kuhusu Uislam basi hapo jibu ni ''udini.''

Hilo kutoelewana inategemea akili ya mtu.
Uwezo wa kufikiri unatofautiana.

Kitabu hicho hapo chini nimeandika baada ya kugundua kuwa historia ya uhuru wa Tanganyika iliyokuwa imetamalaki haiko sawa.

Wahusika wakuu wa harakati hizo wamefutwa katika historia hiyo.
Nini sababu ya kufutwa hao wazalendo?

Nilipoandika kitabu hicho kusahihisha historia hiyo malalamiko yakawa ni ''udini.''

 
Waisrael wapo kidogo Sana kulinganisha na mamilioni ya Waarabu lakini bado anawatawala!
Uzalendo...
Nadhani umekusudia kuwa Wayahudi wameshinda vita vyote dhidi ya Waarabu ila walipopigana na Hizbullah.

Nchi zote za Kiarabu ziko huru zinajitawala wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…