Ukopaji fedha na jinsi unavyoua Urafiki

Pole mkuu, tatizo huwezi kuacha kusaidia, mwenzako nina kama laki nane na nusu ipo kwa mabest, na ni kama wewe, urafiki na undugu umepotea kabisa, mimi sifuti majina yao, nikichukuliwa siku za mwisho wangu watalipa kwa kudaiwa na familia yangu..
Ntaendelea kusaidia, na wewe pia uendelee, vyote hivi twaviacha hapa hapa dugu, kwanini visisaidie wengine, acha viwasumbuwe roho zao lakini moyoni kwako ulisaidia wakati unazo..
 
KUKOPA= maana yake wewe unapokea pesa toka kwa mtu na utamrejesea.

KUKOPESHA= Maana yake wewe unatoa pesa yako unampatia mtu na atakurudishia hiyo pesa.....

Naomba kukusahihisha matumizi ya hayo maneno mawili
 
Haki binadamu wabaya sana!huu uzi umezidi kunikumbusha machungu jaman wakopeshwaji ni wakatili mno.Nimetapeliwa pesa zangu za kutosha ila nimemwachia Mungu.Jaman msikopeshe mtu hasa enzi hivi za vyuma vyenye grisi mtakuja kujuta.
 
Chartyyyyyy!!!!!!
You good my furendiiii!
 
Aisee bro nikopeshe laki tano kisha unisamehe
 
Daa pole, ndugu kwa yaliyo kukuta sio ww pekee yako mm mwenyewe mwaka jana nimetoa msamaha kwa watu watatu ambao mmoja ni Rafiki pia ndugu alipatwa na shida baba mkwe wake alikuwa taaban nikawa nimempatia kiasi huwezi amini mpaka dak hii akiniona huwa anabadili njia ama kujificha[emoji16]
 
Haki binadamu wabaya sana!huu uzi umezidi kunikumbusha machungu jaman wakopeshwaji ni wakatili mno.Nimetapeliwa pesa zangu za kutosha ila nimemwachia Mungu.Jaman msikopeshe mtu hasa enzi hivi za vyuma vyenye grisi mtakuja kujuta.
halafu nilikuwa nakupigia simu juzi unikopeshe kwa vile ushasoma huu uzi nahisi hutanikopesha aiseee daaaah.
 
Uwii we tena sikukopeshi..labda nifanye kukupa kiasi maana najua sitalipwa kabisa hata nikishtaki wapi hahahha
hahahahahhah umenifanya nicheke kama chizi.hebu njoo kule nikupe ombi langu aisee vyuma vimekaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…