Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Sawa tumaHeeeh,
Mimi rafiki mzuri bwana siwezi kukuingiza mujini....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tumaHeeeh,
Mimi rafiki mzuri bwana siwezi kukuingiza mujini....!!
Pole mkuu, tatizo huwezi kuacha kusaidia, mwenzako nina kama laki nane na nusu ipo kwa mabest, na ni kama wewe, urafiki na undugu umepotea kabisa, mimi sifuti majina yao, nikichukuliwa siku za mwisho wangu watalipa kwa kudaiwa na familia yangu..Rafiki yangu mmoja nilimkopa Laki Sita May 2017. Alikuwa nje ya mji na mkewe akapata emergency, akihitaji hiyo pesa. Kwa kuthamini urafiki wetu, nilimtumia fasta, na elfu kumi juu ya ''kutolea''. Huyu hajalipa mpaka leo. Mwingine alikuwa staff member na akaomba nimkope Laki Nane kwa kuwa alikuwa na shida ya kutoa kagari kake kapya bandarini. Ilikuwa June mwaka jana. Hajalipa mpaka leo.
Jambo la ajabu sasa, naona kama urafiki wetu umetetereka pakubwa sana kwa wote wawili. Sio kwamba nawasumbua kwa kuwadai, la hasha. Naona mmoja yeye hata nikichat nae, ule ukaribu wetu wa zamani haupo tena. Sasa hivi simuoni kabisa WhatsApp na nimeambiwa kabadilisha namba. Huyu wa Laki nane zaidi ya mara mbili amepokea simu zangu na kusema ''nipo busy/meeting mkuu, ntakucheki baadae buddaaa...''. Hakunicheki mpaka kesho kutwa. Last time nilitaka kumpa mchongo wa kazi moja hivi lakini alivyoyeyusha, deal nimempa mwingine.
Anyway, kopa mtu fedha at your own risk. Kwa kuwa ninathamimi sana urafiki, mwaka huu sintomkopa fedha mtu au rafiki yangu yeyote. Kama ni fedha kidogo na nimesukumwa na shida ya mtu, nitatoa msaada bure na halitakuwa deni. As for the two gentlemen, nimeshawasamehe moyoni ila sitawaambia na itakaa iwatese tu.
Sasa nakutumia hapa mbele ya kadamnasi kweli ??Sawa tuma
Haki binadamu wabaya sana!huu uzi umezidi kunikumbusha machungu jaman wakopeshwaji ni wakatili mno.Nimetapeliwa pesa zangu za kutosha ila nimemwachia Mungu.Jaman msikopeshe mtu hasa enzi hivi za vyuma vyenye grisi mtakuja kujuta.
Am good mkaka!za huko kwenu aisee..Chartyyyyyy!!!!!!
You good my furendiiii!
Huki wazima, so happy to see you.!Am good mkaka!za huko kwenu aisee..
Sure!me too wasalimie sana[emoji76].Huki wazima, so happy to see you.!
Dah...pole.... Ndiyo ukubwa huo[emoji41]Yaani ningepata mtu anikopeshe laki tatu nisingemsahau mpaka kaburini.Nina issue ya maisha na kifo ila ndo hivo nimekwama nimemuachia mungu
halafu nilikuwa nakupigia simu juzi unikopeshe kwa vile ushasoma huu uzi nahisi hutanikopesha aiseee daaaah.Haki binadamu wabaya sana!huu uzi umezidi kunikumbusha machungu jaman wakopeshwaji ni wakatili mno.Nimetapeliwa pesa zangu za kutosha ila nimemwachia Mungu.Jaman msikopeshe mtu hasa enzi hivi za vyuma vyenye grisi mtakuja kujuta.
Uwii we tena sikukopeshi..labda nifanye kukupa kiasi maana najua sitalipwa kabisa hata nikishtaki wapi hahahhahalafu nilikuwa nakupigia simu juzi unikopeshe kwa vile ushasoma huu uzi nahisi hutanikopesha aiseee daaaah.
Nilishasolve aisee. Mungu mwemaDah...pole.... Ndiyo ukubwa huo[emoji41]
hahahahahhah umenifanya nicheke kama chizi.hebu njoo kule nikupe ombi langu aisee vyuma vimekazaUwii we tena sikukopeshi..labda nifanye kukupa kiasi maana najua sitalipwa kabisa hata nikishtaki wapi hahahha
hata mpenzi tu aisee jua umetoa sadaka.Ukitaka sikia Maumivu Mkopeshe pesa rafiki yule unayempenda alafu ulete marejosho