Ukosefu wa ajira kwa vijana, kutasababisha ongezeko kubwa la uhalifu

Ukosefu wa ajira kwa vijana, kutasababisha ongezeko kubwa la uhalifu

Akilindogosana

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
4,303
Reaction score
12,679
Ukosefu wa ajira kwa vijana, kutasababisha ongezeko kubwa la uhalifu.
 
Kila bidhaa kwa sasa ni made in China tatizo la ajira litakuwepo sana tu miaka ijayo
 
Wewe labda ndio mwizi na mhalifu wasomi tupo hapa tunaendesha hadi ghuta mkono uende kinywani
 
Ukosefu wa ajira kwa vijana, kutasababisha ongezeko kubwa la uhalifu.
Uhalifu ulishaongezeka kitambo hasa miongoni mwa viongozi na watendaji serikalini.
Kwa sasa labda useme Uhalifu unaofanyika serikalini utasambaa hadi majumbani!
 
Kila bidhaa kwa sasa ni made in China tatizo la ajira litakuwepo sana tu miaka ijayo
Madhara ya akili za kichawa, kitapeli na kichuuzi.
Viongozi feki wameamua kututumbukiza kwenye dimbwi la bidhaa feki za kichina!
Mwisho wa siku hata watu mitaani washanza kuwa feki!
 
Madhara ya akili za kichawa, kitapeli na kichuuzi.
Viongozi feki wameamua kututumbukiza kwenye dimbwi la bidhaa feki za kichina!
Mwisho wa siku hata watu mitaani watakuwa feki!
Hatari mno
 
Back
Top Bottom