Ukosefu wa ajira ni tatizo la dunia lakini hapa kwetu isiwe hivi ilivyo

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Ajira hakuna lakini hizo chache zilizopo zinanukia harufu ya kujuana na rushwa,

Kama ajira hakuna basi ugumu uwe kwa usawa (equally) bila kujali cheo, undugu, urafiki, kabila, dini, mali Wala kufahamika kwa mzazi, ndugu, rafiki wa muomba ajira.

Hali sio nzuri katika nyanja zoote za ajira na teuzi. Wasifikiri kama watu hawajui, hawaoni Wala kusikia.
 
Suala la Ajira ni jambo mtambuka linalohitaji mjadala mkubwa wa kina
 
TATIZO LA AJIRA INATOKANA NA AINA YA SERIKALI TULINAYO.HUWEZI UKATATUA TATIZO LA AJIRA KWA AKILI MGANDO WA WATU WALE WALE TANGIA ENZI YA NYERERE HADI LEO.NI MWENDO WA KURITHISHANA VYEO
 
Ajira zitoke wapi, mtu anastaafu huku anawekwa huku.....tuendelee kula mtori, tuwashe na feni kabisa.
Wastaafu ni kero kubwa kwa ajira za vijana pia. Lakini kujuana na kufahamiana ndio kero kuu
 
TATIZO LA AJIRA INATOKANA NA AINA YA SERIKALI TULINAYO.HUWEZI UKATATUA TATIZO LA AJIRA KWA AKILI MGANDO WA WATU WALE WALE TANGIA ENZI YA NYERERE HADI LEO.NI MWENDO WA KURITHISHANA VYEO
Lazima utengenezwe mfumo (matrix) unaozingatia sifa za mwombaji vs kazi anayoiomba bila kuingiliwa na utashi wa mtu. Mtu apitishwe na mfumo kwa vigezo vyake kama vile wanafunzi wanavyopitishwa na mfumo kujiunga na vyuo. Hata chadema au Act ikiingia Ikulu hali itakuwa hiihii au kuzidi zaidi kama hakutakuwa na mfumo unaofanya kazi wenyewe.
 
Bila koneksheni mambo hayaendi.....

Smart911 jina langu vipi huko? Nasikia majina yashakatwa
Yule mtoto wa Kijijini mwenye wazazi wakulima wa chini hawezi kuwa hata askari magereza kama hana mtu anaejuana nae huko juu. Utakuta afisa magereza ndugu zake wote ni askari magereza. Rais wa nchi watoto wake, mkewe , watoto na wake wa rafiki zake,wote ni wabunge, hii inatokeaje, kwamba wananchi walimpenda yeye , mkewe , watoto na rafiki zake wote wawe viongozi wao?

Hali yetu sio nzuri hata kidogo. Wenzetu hawana aibu, nasisi tuvae vinyago au tunywe chupa mbili tu tuondoe aibu usoni.
 
umemaliza.umeambiwa kila mbuz ale urefu wa kamba yake.unategemea nn kwa kauli km hxo?Mwalimu mtoto wake n mwalimu daktari askar magereza polis na jwtz vivyo hivyn.unategemea kvatatua tatizo la ajira kwa mfumu huo,
 
Ajira zinatangazwa zikiwa zimeshajaa.

Hii inasababisha wazazi kuwapa maagizo watoto wao wasifaulu kwenye mtihani wa darasa la Saba ili kuepuka gharama za kumsomeaha secondary na chuo mtoto ambae hatapata ajira.
 
Unajuaje haya. UKWELI NDYO HUO wazazi wanawambia watoto wao wajaze uongo ili wafeli sbb hawaoni umuhimu wa kusomesha.FIKIRI Mzazi aliyeuza shamba lake ili mwanae asome.mwanae amemaliza shule HAKUNA AJIRA SHAMBA LIMEENDA na anabaki kuwa tegemezi kwa mzazi tna na mzazi mwanae km mzgo mzito.elimu yetu n mzgo na sytem yetu inahitajika reform
 
Ardhi kwao haina thamani, ndiyo maana anaweza kuiuza kwa bei ndogo kabisa kwaajili ya karo ya mtoto, ugonjwa au kesi ya mwanawe kaiba kuku.
 
Tatizo la ajira chanzo kikuu ni elimu tupatiwayo kuanzia awali hadi ngazi ya juu si rafiki,
Pili serikali yetu imegubwika na rushwa ambayo inapelekea tatizo limekuwa endelevu aliyepatiwa kazi kwa njia ya rushwa naye anampa mwingine imepelekea tatizo kuwa kubwa kulingana na mizizi iliyopandwa waweza ng'oa kimoja vikaoteana vingi.
Elimu nchini Tanzania ni tatizo linalopelekea maswahibu yote hayo, walibadilisha mtaala hali ya kuwa hawakuandaa vitendea kazi, na wameshavitoa sasa lakini kuvipata kwake imekuwa kwa shida sana
 
Ajira hakuna lakini hizo chache zilizopo zinanukia harufu ya kujuana na rushwa,

Kama ajira hakuna basi ugumu uwe kwa usawa (equally) bila kujali cheo, undugu, urafiki, kabila, dini, mali Wala kufahamika kwa mzazi, ndugu, rafiki wa muomba ajira.

Hali sio nzuri katika nyanja zoote za ajira na teuzi. Wasifikiri kama watu hawajui, hawaoni Wala kusikia.
Jwtz juzi hapa nadhani june 2025 wametangaza nafasi za kujiandikisha jeshi, kilichotokea..............
inasikitisha sana. Ni kujuana 100%. Tunakoelekea jeshi pia litakua la kiukoo
 
POLICE WAMEJAA WATOTO WA VIONGOZI WA CCM.KWA UJUMLA POLICE NI UVCCM TOTALY
 
Tatizo la ajira chanzo kikuu ni elimu tupatiwayo kuanzia awali hadi ngazi ya juu si rafiki,
Pili serikali yetu imegubwika na rushwa ambayo inapelekea tatizo limekuwa endelevu aliyepatiwa kazi kwa njia ya rushwa naye anampa mwingine imepelekea tatizo kuwa kubwa kulingana na mizizi iliyopandwa waweza ng'oa kimoja vikaoteana vingi.
Elimu nchini Tanzania ni tatizo linalopelekea maswahibu yote hayo, walibadilisha mtaala hali ya kuwa hawakuandaa vitendea kazi, na wameshavitoa sasa lakini kuvipata kwake imekuwa kwa shida sana
Kama wewe ni kiongozi mkuu wa nchi ukaamua kuwapa kazi mke wako, watoto wako, binamu zako, watoto wa Nyerere, Mwinyi Mkapa Kikwete Magufuli, Kawawa, soloine, mongela na shemeji Yako, je makamo wa Rais, Waziri Mkuu, Waziri, mkuu wa mkoa, diwani, muuguzi mkuu, mkuu wa majeshi, na Mkuu wa idara wataacha nao kuwapa kazi watu wao huku chini? Nani atamnyooshea kidole nani?

Yaani suluhisho hapa ni kurudisha mpira kwa kipa(wananchi) tuanze upya.
 
TATIZO LA AJIRA INATOKANA NA AINA YA SERIKALI TULINAYO.HUWEZI UKATATUA TATIZO LA AJIRA KWA AKILI MGANDO WA WATU WALE WALE TANGIA ENZI YA NYERERE HADI LEO.NI MWENDO WA KURITHISHANA VYEO
Kina Mohammed kawaida na yule kijana wa kagera ndio tunawategemea kuja kutatua tatizo la ajira we are not serious.
 
wewe jamaa bana, unataka equality third world country? hata huko first world hakuna hiyo equality. Uzoefu unazungumza kuwa kadri ya ugumu wa kitu unavyokuwa mkubwa ndio mianya ya rushwa na farosm inapokuwa mikubwa.
 
Kuna ngazi za juu, kati na chini. Hata kama upo ugumu lakini haitakiwi nyufa ionekane kwenye ile ngazi ya juu. Kaka kaka mkubwa anavuta bhangi ni kazi ngumu kuwaonya wadogo zake kuhusu bangi na ubaya wake.
 
Back
Top Bottom