Ukosefu wa ajira unatokana na kusoma fani zisizokuwa na tija

Hili si jambo linalotukabili kama changamoto Tanzania hii. Nakuambia hivi hata leo wale wanafunzi wote wa vyuo vikuu wakiwa wanapata technical knowledge (VETA) MFANO TU. Bado shida itabaki palepale. Hebu tufikirie zaidi tatizo ni nini.
 
Ni kweli, changamoto inaweza kuwa mfumo kama utaitazama hii locally, ila kwa mtu anayeona mbali hasa kimataifa, ujuzi wako unaweza ukakupeleka kufanya kazi sehemu yoyote duniani.
 
Visingizio huwa havikosi lakini angalia logics za mada husika , technical knowledge ni msaada kuliko vyeti vya darasani
 
Mhasibu, hivi unajua nikiajiriwa tu shuleni ndani ya mwaka tu nanunua gari. Sasa wewe huo mcherehani unaouzungumzia unazungumzia level ya chini sana ya elimu ya msingi.
Katika uhasibu wako ni kitu gani umekifanya kipya? Na unathibitishiaje ulimwengu, kuwa wewe ni unique kwenye uhasibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…