Ukosefu wa ajira unatokana na kusoma fani zisizokuwa na tija

Ukosefu wa ajira unatokana na kusoma fani zisizokuwa na tija

Tafuta 'technical knowledge' ndio pointi kuu; wanaohangaika sana kwenye ajira wengi wao wana 'knowledge' ambayo ni 'universal' yaani kila mtu anaweza kufanya, awe amesoma hajasoma anaweza kufanya kama akielekezwa kwa siku mbili tu. Mfano, labda umesoma uchumi, na mwingine akasoma mambo ya 'software development' , nadhani hapo mkuu umeona utofauti.
Hili si jambo linalotukabili kama changamoto Tanzania hii. Nakuambia hivi hata leo wale wanafunzi wote wa vyuo vikuu wakiwa wanapata technical knowledge (VETA) MFANO TU. Bado shida itabaki palepale. Hebu tufikirie zaidi tatizo ni nini.
 
Ni kweli, changamoto inaweza kuwa mfumo kama utaitazama hii locally, ila kwa mtu anayeona mbali hasa kimataifa, ujuzi wako unaweza ukakupeleka kufanya kazi sehemu yoyote duniani.
 
Ukosefu wa ajira unatokana na katiba mbovu, utawala mbovu, ukosefu wa Tume huru ya uchaguzi, sera mbovu za maendeleo, ukosefu wa uongozi bali uwepo wa utawala, viongozi wasio na competent wala utashi, uwepo wa matabaka ya kilazima kati ya watawala na watawaliwa, uchu wa madaraka
Visingizio huwa havikosi lakini angalia logics za mada husika , technical knowledge ni msaada kuliko vyeti vya darasani
 
Mhasibu, hivi unajua nikiajiriwa tu shuleni ndani ya mwaka tu nanunua gari. Sasa wewe huo mcherehani unaouzungumzia unazungumzia level ya chini sana ya elimu ya msingi.
Katika uhasibu wako ni kitu gani umekifanya kipya? Na unathibitishiaje ulimwengu, kuwa wewe ni unique kwenye uhasibu?
 
Back
Top Bottom