Ukosefu wa ajira unatokana na kusoma fani zisizokuwa na tija

Ukosefu wa ajira unatokana na kusoma fani zisizokuwa na tija

Nimesoma comment zote lakini nimegundua ttz kbw elimu yetu mbovu aitufanyi kujijuwa ww n nn naunapaswa ufanye nn bali inatufany tukajiliwe n nn inakera sana
 
Mkuu mbali na kujiajiri,hii kozi kila ajira zinazotangazwa ajira Portal..aisee kwa mwaka utawz ona mara 2 tu..halafu wanataka 1 au2 tu..

Pia kazi zikitangazwa za Automobile..Mechanical Eng anaweza kuapply na akapata,ila za Mechanical Eng..Automobile Eng tukiapply ajira portal SYSTEM INATUKATAA..Yaani Tafrani tu.

Nipo kitaa mwaka wa 4 huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nmeshakuelewa... inawezekana jambo la kwanza watu wengi wanapeleka magari garage za mtaani ambazo ni kama watu washazoea, na kitu cha kijinga kwenye ufundi huu ni kwamba mtu akishalock kwa Fundi wake ndio huyo huyo, mzee alikuwa anakauli yake anasema gari yangu hagusi fundi mwingine zaidi ya tall, na alikuwa anapigiwa anakuja nyumbani....

Pili... Ajira Portal ni kwa kazi za serikalini tu ivyo basi magari mengi ya serikalini wanapeleka garage zao wao kama TAMESA....
Kufanya matengenezo ya Magari, pikipiki na Mitambo ya Serikali katika Karakana ambazo zipo kila Mkoa;

Tatu wanachukua mtu wa Mechanical Engineering kwasababu yuko diversified. ie multifunctional ili wakimuweka pale karakana hatengenezi magari tu bali hata mitambo mbalimbali ikija anarekebisha...yakiwemo na hayo magari...

Usisubiri serikalini utachelewa ingia kitaa mkuu, hapo haina kuremba tafuta garage kitaa jishkize na unavyozidi kukaa kitaa bila kupractice unasahau vitu... usione aibu kukaa garage na darasa la saba ukisubiria Ajira portal watangaze... mzee baba utasubiri sana sababu kumbuka kule serikalini kustaafu ni miaka 60 au 55 kwa hiari... huyo fundi atatoka leo?
 
Najuta Kusomea AUTOMOBILE ENGINEERING.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, yaan una automobile engineering then una haha mtaani? Nahisi una elimu cheti na sio ujuzi.. mie sijasoma automobile engineering but aim good in automobile mpaka najionea wivu and aim getting easy money like nobody business.. (i did banking and finance from ifm, i am a banker and mechanics at the same time..) automobile industry inapesa nyingi za nje nje kwakua ni eneo ambalo ukiwa expert, unajipangia bei ya vitu.. hakuna fixed price ya kucharge.. so wewe ndo unakua monopolist wa ku determine price ya huduma yako. Be good at what you are doing utapata pesa mpaka utakimbia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
mkuu mimi ni mechanical engineer nalijua gari but issue ni kupata mteja man kila mwenye gari ana fundj wake
 
mkuu mimi ni mechanical engineer nalijua gari but issue ni kupata mteja man kila mwenye gari ana fundj wake
Natumaini unatumia mitandao ya kijamii; Anza kuji-brand, unaweza kutumia jina; Fundi magari- Bingwa, elezea changamoto za gari zilivyo, na namna unavyoweza kutatua, kila kazi weka kiwango kidogo cha fedha, na uweke kipengele...nafuata mteja alipo
 
Back
Top Bottom