Ukosefu wa ajira Vijana wa kiume wamegeukia bodaboda vijana wa kike wamegeukia kujiuza

Usiamini sana hizo habari kuwa wakati wanakatisha wiki hawajaguswa na ndo maana wanaenda sana kwa waganga
Kuwekewa pepo la ngono
Thus huwa naona vilingeni siku hivi wanakuja mabinti wazuri sana.
 
Ila polisi wamewapukutisha sana wiki hii
 
Kama kweli hawaipendi hio biashara, kujiuza kwa wiki moja kungetosha kupata mtaji wa kufungua hata restaurant ya kuuza chips wakapata ridhiki yao kwa halali na kuacha kazi hio, kuendelea kwao means wanapenda wanachokifanya
Yaani, kwa mujibu wa mletaa mada hii hali ipo sana tu.
Ni kweli unavosema wanaipenda na wasiseme tu kuwa ni ngumu. kazi nyingi halali za wanawake ni ngumu, mama ntilie, kuponda kokoto, kuuza mboga, usafi nk. wadadashow hawazipendi, ni rahisi kwao kujipodoa na kupataa soko. inaanzia kwa wazazi kuacha kuwafundisha watoto kazi, wamama wasomi na wa mijini huanza kuwapamba mabinti zao tangu wangali vikinda na kuwalea kisoftsoft, shule zetu hazifundishi ujasiria mali matokeo yake ni haya..
 
Mabinti wengi upitia kipindi kigumu sana siku hizi ajira hakuna waoaji hakuna wahongaji hakuna kuliko kuhonga ni gharama bora akanunue dukani
 
Labda ajira itasaidia
Hakuna ajira ya halali itakayompa fresh graduate 50,000/= kwa siku!! Binti akijitumbukiza huko hawezi kuacha ili akaajiriwe na serikali ambako huanzia TGS D1: 765,000/= kwa mwezi hapo bado makato!!
 
WAKIUME WAMEGEUKIA NA USHOGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…