Ukosefu wa ajira Vijana wa kiume wamegeukia bodaboda vijana wa kike wamegeukia kujiuza

Ukosefu wa ajira Vijana wa kiume wamegeukia bodaboda vijana wa kike wamegeukia kujiuza

Usiamini sana hizo habari kuwa wakati wanakatisha wiki hawajaguswa na ndo maana wanaenda sana kwa waganga
Kuwekewa pepo la ngono
Thus huwa naona vilingeni siku hivi wanakuja mabinti wazuri sana.
 
Ila polisi wamewapukutisha sana wiki hii
 
Kama kweli hawaipendi hio biashara, kujiuza kwa wiki moja kungetosha kupata mtaji wa kufungua hata restaurant ya kuuza chips wakapata ridhiki yao kwa halali na kuacha kazi hio, kuendelea kwao means wanapenda wanachokifanya
Yaani, kwa mujibu wa mletaa mada hii hali ipo sana tu.
Ni kweli unavosema wanaipenda na wasiseme tu kuwa ni ngumu. kazi nyingi halali za wanawake ni ngumu, mama ntilie, kuponda kokoto, kuuza mboga, usafi nk. wadadashow hawazipendi, ni rahisi kwao kujipodoa na kupataa soko. inaanzia kwa wazazi kuacha kuwafundisha watoto kazi, wamama wasomi na wa mijini huanza kuwapamba mabinti zao tangu wangali vikinda na kuwalea kisoftsoft, shule zetu hazifundishi ujasiria mali matokeo yake ni haya..
 
Mabinti wengi upitia kipindi kigumu sana siku hizi ajira hakuna waoaji hakuna wahongaji hakuna kuliko kuhonga ni gharama bora akanunue dukani
 
Labda ajira itasaidia
Hakuna ajira ya halali itakayompa fresh graduate 50,000/= kwa siku!! Binti akijitumbukiza huko hawezi kuacha ili akaajiriwe na serikali ambako huanzia TGS D1: 765,000/= kwa mwezi hapo bado makato!!
 
Sina uhakika wa takwimu za ukosefu wa ajira lakini nimefanya uchunguzi wangu makini kabisa kutoka na uzoefu wangu wa jiji. Nia yangu siku zote ni kufanyakazi za kijamii baada ya kazi zangu za kuajiliwa na wachina.

Katika pita pita zangu nimegundua vijana wengi sana ambao awali walikuwa makondakta na wafanyakazi na vibarua viwandani wamegeukia kazi ya bodaboda.
Barabara mbovu na foreni na ukosefu wa mipango miji umefanya bodaboda kuwa nyingi sana na maarufu.

Lakini kwa Mshangao nimegundua bodaboda zimeitikiwa kwa mwingi na jinsia ya kiume kuliko ya kike. Je jinsia ya kike amboa ndio idadi kubwa wako wapi?

Nilikazunguka kwenye masoko mengi nikagundua muitikio wa wanaume na wanawake ni 50/50 katika eneo la masoko na maduka.
Nikaenda kwenye ma club za usiku na sehemu mbali mbali nikagundua bado mwitikio wa wanawake na wanaume ni 50/50 hakuna wanawake wengi sana. Nikajiuliza jinsia ya kike iko wapi?

Nikatembele dangulo Moja maalufu lipo sinza. Hili dangulo ni nyumba ya kulala wageni. Humo wanawake hupanga na kuishi kama eneo la kazi. Nilipewa na mhudumu wa baa Moja nikaambiwa hapo Kuna mama na mwanae so ni Hague mama au mtoto nikatoa hela ya udalali Elfu 5 nikapewa namba ya mtoto. mwanae wamepanga hapo guest Moja wanalipa kila siku Elfu 10.

Ikabidi nijifanye mteja ila mwisho wa siku nikamwambia sijisikii kufanyachochote tukaanza story. Akaniambia baada ya masaa mawili nimlipe 50k.

Tukaongea mengi akaniambia alipomaliza degree chuo cha ustawi wa jamii mama yake alimpa milioni tano kama mtaji wa mpesa ili afanya biashara asikae nyumbani tuu. Akamkodia banda mitaa ya misugusugu Kibaha. Kwahiyo kila siku alikuwa naamka kutoka mbezi ruisi(mbezi magufuri stand) ambapo mama yake amejenga mpaka Kibaha.

Mwanzoni biashara ilikuwa nzuri tu sana mpaka tamaa ya Maisha mazuri na Ushawishi wa ujana ukamuingia. Akaanza mahusiano na mtoto mmoja wa Tajiri ambae kwao wanamiliki Sheli za mafuta. Sasa kutoka na kijana bado Hana kipato anatumwatumwa tu na familia wakatumia mtaji taratibu mpaka ukaisha. Mtaji ulivyoisha kijana akambadilikia wakaachana. Sasa Hawezi kumwambia mama yake ikabidi anze kujiuza kwa madereva wa malori taratibu kwasababu misugusugu Kuna malori mengi sana.

Alinieleza mengi sana mpaka mama yake akaja kujua kuwa biashara imekufa. Mama yake alivyojua mtaji umekata alilia sana usiku kucha. Akasema maneno magumu sana ambayo yalimfanya akimbie usiku uleule.
Akawambia Ile hela amepata kwenye group la danguro ambalo kila siku wacheza laki moja. Akawambia mwangu kupata laki moja Kwa siku nalala na wanaume watano mpaka kumi kwa siku. Sasa wewe unaenda kuhonga hela yote.

Anasema alivyomalizia tu hiyo sentensi tu walikimbia nje kachukua bodaboda anakimbia Moja kwa Moja akaenda sinza.

Kwakuwa ni mzoefu wa maeneo ya sinza akienda kwa Rafiki yake ambae anamjua amepanga sinza na amejisomesha kwa biashara ya kuuza mwili.
Ilikuwa saa Moja asubuhi akamkuta wakasalimiana. Yale maneno yakawa yanajirudiarudia maana alilelewa bukoba kwa bibi yake ambapo nyumbani kwao Ndugu zao wanajua mama yake ni nesi katika hospital ya Jeshi hivyo huenda huko week Moja Juma nne ndio yupo off.

Alimaliza form six na kujiunga Moja kwa Moja chuo cha ustawi mpaka alivyohitimu chuo na kurudi nyumbani na kwakuwa mama ahakumlea hakuwa na karibu sana na mama yake.

Toka siku hiyo nikaanza rasmi hii kazi. mama yake alikuwa kwenye danguro la mwananyamala hospital na Sasa amemuingiza kwenye magroup ya telegram ambayo hupata wateja na kuwafata hapo guest.

Maisha ya kujiuza ni kazi ngumu sana, wateja siku nyingine hakuna wateja huku wakilazimika kutumia akiba yao. magonjwa ya ngono ni mengi na ingawa Kuna Taasisi (NGO) zinawasaidia.

Akaniambia Kuna asilimia Karibu 40% ya wasichana Tanzania hadi wake za watu wapo kwenye magroup wengine kama starehe wengine kuingiza kipato.

Kuna Mitandao mingi ambapo wanawake hujiuza.
Telegram
Whatssap
Tinder
Badoo
Twitter
Escort
Xvideos. Com
Escort

Biashara hii Sasa imengiliwa na watu wengi kiasi kwamba wateja hakuna kabisa. Wanabangaiza tu kupata hela ya kujikimu.

Anaomba serikali iwape ajira wanawake wa nchii hii kwani wanawake wengi Sasa wanajiingiza kwenye matumizi ya bange na madawa kulevya. Alimalizia kama mama anatumia bange na ndio amepewa jukumu la kulea familia hao watoto wa badae watakuwaje?
WAKIUME WAMEGEUKIA NA USHOGA
 
Back
Top Bottom