Ukosefu wa hedhi tangu kipindi cha balehe

Walimwambia eti tatizo lake sio kubwa bali mirija sijui ya nini imefunga, najipanga nimpeleke hata muhimbuli

Inawezekana shida yake kubwa ikawa ni kwenye upande mzima wa hormones,gyno ndo mtu anayeweza msaidia.
Nafikiri vipimo vya hormones vitaleta majibu mazuri.

Namuonea huruma
 
Huyu anahitaji hormonal treatment plus some foods upplements.
 
Inawezekana shida yake kubwa ikawa ni kwenye upande mzima wa hormones,gyno ndo mtu anayeweza msaidia.
Nafikiri vipimo vya hormones vitaleta majibu mazuri.

Namuonea huruma
Asante pia
 
MREJESHO.

baada ya kutulia kwa siku kadhaa, nikaamua kuomba matokeo ya vipimo alivyopina awali, nikapewa nimeviambatanisha kwenye picha karatasi nyeupe, kisha nikampeleka hospital nyingine tukapima upya utra sound majibu ya dakitari yanaonekana kama yalivyo hapo kwenye karatasi ya njano picha ya pili na kadai kuna ulazima wa kufanyiwa upasuaji nimpeleke muhimbili kwamba shingo ya uzazi haijaungana au haipo etc.

Sasa wadau hapo bado bado sijapata ufumbuzi akili yangu inaniambia kuna namna ya kufanya bila kutumia njia au gharama ndefu sana sema ndo sielewi.

Bado nahitaji msaada ndugu zangu nini cha kufanya hapa?View attachment 3047512
View attachment 3047515View attachment 3047516
View attachment 3047518
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…