Ukosefu wa hedhi tangu kipindi cha balehe

Ukosefu wa hedhi tangu kipindi cha balehe

Alihangaika Sana hospital mwishoni akawa mtu wa kushinda kanisani kutafuta ufumbuzi
Hakuna kitu kunaumiza mioyo na hisia kama haya mambo, yakiwemo ya upungufu wa nguvu za kiume ni bora mara mia moja mtu ukapoteza kiungo kingine kwenye mwili ila sio haya yanayopeleka maumovu moja kwa mpja kwenye moyo.
 
Duniani kuna mitihani na zaidi ya mitihani, tumwombe sana Mungu atuepushie majanga kama hayo.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hua naogopa sana kudate na mdada mwenye changamoto flan flan za uzazi maana hata ukitaka kumpiga chini unaogopa unakua unamuonea huruma, mara nyingi hawa wakiachwa huhisi wanaachwa kwa sababu ya changamoto zao
Ndio kweli, lakini huruma pia ni muhimu kuliko ubinafis, mfano unaweza ukamkimbia mdada lets say hasikii, ukaenda pa kwenda halafu mbeleni yakawapata au yakampata mmoja wenu makubwa zaidi.

Tuombeane mema tu na moyo ukishapenda basi usikilizwe.
 
ukamkimbia mdada lets say hasikii, ukaenda pa kwenda halafu mbeleni yakawapata au yakampata mmoja wenu makubwa zaidi.
🤔🤔Hii ndo mbaya sasa, sema Sasa mda mwngn unakua njiapanda

Ila mm hua kama nataka kufanya jambo ambalo najua kabs hapa nazingua hua najitune kiakili kuvaa ukatili flan na najiuliza hv tuseme mm ndo ningekua na changamoto ya hvo yy angenisitiri?
 
Back
Top Bottom