Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Alihangaika Sana hospital mwishoni akawa mtu wa kushinda kanisani kutafuta ufumbuziDaaah masikini.
Ulimsaidia hata ushauri?? Wanatia huruma kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alihangaika Sana hospital mwishoni akawa mtu wa kushinda kanisani kutafuta ufumbuziDaaah masikini.
Ulimsaidia hata ushauri?? Wanatia huruma kweli.
Hakuna kitu kunaumiza mioyo na hisia kama haya mambo, yakiwemo ya upungufu wa nguvu za kiume ni bora mara mia moja mtu ukapoteza kiungo kingine kwenye mwili ila sio haya yanayopeleka maumovu moja kwa mpja kwenye moyo.Alihangaika Sana hospital mwishoni akawa mtu wa kushinda kanisani kutafuta ufumbuzi
Duniani kuna mitihani na zaidi ya mitihani, tumwombe sana Mungu atuepushie majanga kama hayo.Hakuna kitu kunaumiza mioyo na hisia kama haya mambo, yakiwemo ya upungufu wa nguvu za kiume ni bora mara mia moja mtu ukapoteza kiungo kingine kwenye mwili ila sio haya yanayopeleka maumovu moja kwa mpja kwenye moyo.
Duuh hii kali sasa, woiiihShangaa aisee. Nimejikuta namhurumia sana badala ya kushangaa how come binti akose hedhi miaka yote hiyo?
Mwanzo nikadhani hana tundu huyu ila nikafanya nae minyanduo yuko poa tu.
Ndio kweli, lakini huruma pia ni muhimu kuliko ubinafis, mfano unaweza ukamkimbia mdada lets say hasikii, ukaenda pa kwenda halafu mbeleni yakawapata au yakampata mmoja wenu makubwa zaidi.Hua naogopa sana kudate na mdada mwenye changamoto flan flan za uzazi maana hata ukitaka kumpiga chini unaogopa unakua unamuonea huruma, mara nyingi hawa wakiachwa huhisi wanaachwa kwa sababu ya changamoto zao
We unashangaaa kuna huyo mdada alinasa mimba lkn akawa anableed mpaka mimba imefikisha miezi sita..alitembezwa kwenye maombi mara kcmc mara mwakasege mara mhanga mwenye jicho mojaDuuuh hii mpyaa!! Kweli maajabu hayaishi duniani.
🤔🤔Hii ndo mbaya sasa, sema Sasa mda mwngn unakua njiapandaukamkimbia mdada lets say hasikii, ukaenda pa kwenda halafu mbeleni yakawapata au yakampata mmoja wenu makubwa zaidi.
Bado hujasikia, kuna mwenye tundu la mkojo tu.Duuuh hii mpyaa!! Kweli maajabu hayaishi duniani.
Alizaaa kawaida tu fresh japo alikua frustrated sanaThen ikawaje.
UsiMuonee huruma mwanamke,huyo hawrzi kupata mimbaUkiwa sawa mshukuru mola asee
Dah mchukue tu akulelee watoto
pia muende huko kwa wataalamu wa afya mcheki pia kama ana kizazi na maswala mengine yahusuyo uzazi, kakuweka wazi mshukuru Mungu
Wala usimuachee ,naonaga huruma etiiii
Hii sio ajabu kwangu, ila ya kukosa hedhi kabisa hii mpya wallah.We unashangaaa kuna huyo mdada alinasa mimba lkn akawa anableed mpaka mimba imefikisha miezi sita..alitembezwa kwenye maombi mara kcmc mara mwakasege mara mhanga mwenye jicho moja
Hajawahi kuhangaika kama kuhangaika, ila amewahi kwenda wakampima utraspund na mambo mengine ila hakuoata tiba kamili
Walimwambia eti tatizo lake sio kubwa bali mirija sijui ya nini imefunga, najipanga nimpeleke hata muhimbuliHiyo ultrasound majibu yake yalikuwaje?
Mtafutie hospitali ambayo ina madaktari bingwa wa magonjwa ya kina mama,naimani atapata msaada.