kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Njia pekee ya kukabiliana na gharama za uchaguzi ingekuwa kutoa ruzuku na misaada kwa vyama vya siasa nchini. Kukosekana kwa hela ya kumudu gharama za kupiga kampeni imesababisha vyama vidogo kuviunga mkono vyama vikubwa kwenye mbio za uchaguzi.
Kama kungekuwa na ruzuku ya kupigia kampeni TLP na UDP wasingekubali kuunga mkono juhuhi za CCM kwenye uchaguzi. Hivyo hivyo na ATC-Wazalendo wasingefikiria kuunga mkono juhudi za CHADEMA kwenye uchaguzi wa rais.
Aliyebuni wazo la kuvinyima ruzuku na vyanzo vingine vya kupata hela hakujuwa kile ambacho kingejitokeza kwa CCM na Chadema.
Leo hii Chadema bila kutarajia imejikuta ikiungwa mkono na ACT from no where. Hii ina maana kuwa chadema sasa ina nguvu nyingi kuliko ilivyokuwa ikitegemewa.
Hawa washauri wetu lazima watimzamwe upya.