Uchaguzi 2020 Ukosefu wa hela ya kupiga kampeni wageuka neema kwa vyama vikubwa nchini

mwingila kashamaliza na yupo mfungo wa siku 7 kavu yeye na sheikh ponda na huko kwa wenzetu Zanzibar alibadiri kama zote
 
Bila shaka ulichokiandika haukijui
 
Hii combination ya Lissu na Zito ni hatari sana, hizi njemba mbili zote zimejaaliwa uwezo wa kujenga hoja na kujieleza. Pia wana exposure kubwa na mambo yanavyoendeshwa (mifumo) ktk nchi za ulimwengu wa kwanza.
 
Watanzania wasiiachie fursa hii. Wakiipoteza huenda akawachukua muda mrefu Tena kuipata
 
Fantastic post
 
Wewe Ni kichwa
 
Ccm wamekuwa kama HAMANI wa kwenye biblia aliyemchongea MODEKAI mti ili atundikwe, mti huo ndio uliotumika kumtundika yeyey Hamani badala ya Modekai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…