Duh, wewe unaonekana bado unaishi Stone Age,na dunia unayojua ni ya CCM tuu, pole sanaNo data no right to speak.
Kuna nchi inaacha internet itumike kuleta vurugu?
Bitch pls, ni suala la wazi kabisa. Taasis zinazopokea mapato ilibidi zipokee cash badala ya online.No data no right to speak.
Kuna nchi inaacha internet itumike kuleta vurugu?
Ungeongea hivyo mbele ya Wageni waliobook hotels na full accomodation na kulipia before huduma zote ndio ungepokea matusi ya mama yako mzazi mpaka Bibi zakoNo data no right to speak.
Kuna nchi inaacha internet itumike kuleta vurugu?
SahihiBitch pls, ni suala la wazi kabisa. Taasis zinazopokea mapato ilibidi zipokee cash badala ya online.
Ubadhirifu na upotev mapato umetokea mkubwa sana
Wasalaam alaykum ndiyo nini muislam usiyependa unafki?Wasalaam Aleykhum,
Hatimaye nimefika nyumbani Zanzibar salama majira ya jana jioni na kuswali Isha nyumbani
Mie ni Muislam ninayeogopa Unafik kuliko Shirki (japo dhambi zote mbaya sana mbele ya Allah (S.A.W)
Nimeumizwa na vifo nilivyoshughudia huko bara kwasababu kikazi mi n maranyingi nakuwa bara huko. Nimeona watoto wa miaka wallah haizidi 15 wakifa kwa kupigwa risasi
Kingine katika kazi zetu za Utalii twategemea mtandao kwa asilimia 90 mpaka 95, tulikosa huduma hiyo ya Internet kwa siku zipatazo nne na kuathiri sana upokeaji na uelekezaji wa Wageni kuanzia mapokezi
Wageni wengi sana wameenda nchi jirani ya Kenya kupitia Mombasa na wengine kupanda ndege na kushukia Nairobi- Kenya, tena Wanaisema vibaya sana Nchi yetu hii mpaka watukana kabisa
Wageni hawahusiani kabisa na SIASA wala MAANDAMANO, sasa kwa vipi wanakosa huduma muhimu sana ya Internet?
Kwa vipi wanawasiliana na Ndugu zao huko walikotoka?
Tuwe wakweli Huduma ya Internet kuzuiwa kumesababisha kukosa fedha nyingi katika Mzunguko wa ndani na Fedha za kutoka nje ya nchi
Wallah kwa hili Serikali ilifahamu vyema
Mapato yanini ikiwa hayo mapato wanaiba wanajengea madem.zao majumba wananunua majumba wanahonga askari waue ndugu zetu mapato yanini sasa ikiwa hayo mapato ndio change cha chuki mpaka tunafikia hatua ya kuwanaWasalaam Aleykhum,
Hatimaye nimefika nyumbani Zanzibar salama majira ya jana jioni na kuswali Isha nyumbani
Mie ni Muislam ninayeogopa Unafik kuliko Shirki (japo dhambi zote mbaya sana mbele ya Allah (S.A.W)
Nimeumizwa na vifo nilivyoshughudia huko bara kwasababu kikazi mi n maranyingi nakuwa bara huko. Nimeona watoto wa miaka wallah haizidi 15 wakifa kwa kupigwa risasi
Kingine katika kazi zetu za Utalii twategemea mtandao kwa asilimia 90 mpaka 95, tulikosa huduma hiyo ya Internet kwa siku zipatazo nne na kuathiri sana upokeaji na uelekezaji wa Wageni kuanzia mapokezi
Wageni wengi sana wameenda nchi jirani ya Kenya kupitia Mombasa na wengine kupanda ndege na kushukia Nairobi- Kenya, tena Wanaisema vibaya sana Nchi yetu hii mpaka watukana kabisa
Wageni hawahusiani kabisa na SIASA wala MAANDAMANO, sasa kwa vipi wanakosa huduma muhimu sana ya Internet?
Kwa vipi wanawasiliana na Ndugu zao huko walikotoka?
Tuwe wakweli Huduma ya Internet kuzuiwa kumesababisha kukosa fedha nyingi katika Mzunguko wa ndani na Fedha za kutoka nje ya nchi
Wallah kwa hili Serikali ilifahamu vyema
Kwa hiyo na yale matokeo kutoka kwenye vituo vya kura mliyapata kwa kutumia njia gani! Mlitumia njia ya simu, au mlitumia magari kusafirisha fomu za matokeo mpaka kwa Mwenyekiti wenu wa tume kule Dodoma?No data no right to speak.
Kuna nchi inaacha internet itumike kuleta vurugu?
Satellite to smartphone Internet ipo njiani. Turufu ya kuzima Internet kulinda batili haitakuwepo tena. GenZ oyee.No data no right to speak.
Kuna nchi inaacha internet itumike kuleta vurugu?
Maana yake muongoHilo halina umuhimu kama kiini cha mada