Ukosefu wa Kipato chanzo cha Changamoto za Afya ya Akili

Ukosefu wa Kipato chanzo cha Changamoto za Afya ya Akili

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,922
Reaction score
3,252
00929d55-156b-4fa0-a90f-6f6f82fbacfe.jpg

Umasikini wa kipato umetajwa kuwa kichocheo kikubwa cha migogoro katika familia na hatimaye kusabaisha msongo wa mawazo na changamoto za afya za akili.

Hayo yameelezwa Agosti 6, 2026 katika mkutano wa tathini ya matokeo wa mradi wa unasihi wa busara, Faraja na Ustawi uliofanywa kwa miezi sita na Shirika la Tap Elderly Women’s Wisdom for Youth (TEWWY) uuliofanyika kwa miezi sita.

Akizungumzia matokeo hayo, meneja wa mradi huo Mkurugenzi wa Program wa TEWWY, Morris Lekule alisema miongoni mwa vyanzo vya changamoto ya afya ya akili ni ukosefu wa kipato miongoni mwa wanafamilia.
Lekule alisema baada ya kuwabaini watu wenye chngamoto hizo, TEWWY kupitia wanasihi wake huwashauri watu hao na kuwapa mbinu za kukabiliana na msongo wa mawazo.


Hoja hiyo imeungwa mkono na Dk Mwendo Simon, Mratibu wa Afya ya Akili na Dawa za Kulevya wa Manispaa ya Kinondoni.




Naye Mtendaji wa Mtaa wa Minazini Kata ya Makumbusho Dar es Salaam, Ally Mohamed.



Soma pia: Mwanasaikolojia: Kubeti kunaweza kupelekea matatizo ya afya ya akili kwa vijana
 
Akizungumzia matokeo hayo, meneja wa mradi huo Lekule alisema miongoni mwa vyanzo vya changamoto ya afya ya akili ni ukosefu wa kipato miongoni mwa wanafamilia.
Lekule alisema baada ya kuwabaini watu wenye chngamoto hizo, TEWWY kupitia wanasihi wake huwashauri watu hao na kuwapa mbinu za kukabiliana na msongo wa mawazo.
Afrika pagumu sana.
Ndio nini hiki ?
 
Back
Top Bottom