Afrika pagumu sana.Akizungumzia matokeo hayo, meneja wa mradi huo Lekule alisema miongoni mwa vyanzo vya changamoto ya afya ya akili ni ukosefu wa kipato miongoni mwa wanafamilia.
Lekule alisema baada ya kuwabaini watu wenye chngamoto hizo, TEWWY kupitia wanasihi wake huwashauri watu hao na kuwapa mbinu za kukabiliana na msongo wa mawazo.