KERO Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo

KERO Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

sauti ya busara40

New Member
Joined
Jan 10, 2025
Posts
1
Reaction score
1
Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo

Tangu Februari 2024, baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Luguruni tumekutana na tatizo la ukosefu wa huduma ya maji.

Tumeshajaribu kuwasiliana na DAWASA ili kutafuta ufumbuzi, lakini hadi sasa hatujapata hatua za vitendo wala majibu ya kutusaidia.

Hali ya Shida:

Ukosefu wa maji umekuwa kikwazo katika shughuli za kila siku, hususan kwa usafi na afya.

Tunahitaji msaada wa haraka ili kuondokana na changamoto hii. Halafu Dawasa wamekuwa wakitupotezea yaani hawajali
 
Back
Top Bottom