Ukosefu wa maji Tabata, DAWASA hawana majibu

Ukosefu wa maji Tabata, DAWASA hawana majibu

Insidious

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2020
Posts
654
Reaction score
895
Kwenu Wahusika, kwa mara ya pili!

Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya kuingia gharama kubwa kupata maji hayo. Bill yetu ya hivi karibuni inaonyesha matumizi ya maji kuwa sifuri, ikionyesha kuwa hakuna maji yaliyotolewa.

Hata baada ya kupiga simu kwa huduma kwa wateja, tulijulishwa kwamba hawana taarifa kuhusu tatizo hili na hawawezi kutoa maelezo yoyote. Kukosekana kwa mawasiliano na uwazi huu hakukubaliki.
 
Back
Top Bottom