hmaloh
Senior Member
- Nov 22, 2018
- 162
- 314
Ndugu zangu wanaJF, huu ni mwaka wa sita sasa mtanzania mimi nahangaika kupata huduma hii muhimu lakini mpaka sasa nahisi kukata tamaa kwa maana kila nikiuliza naambiwa bado mfumo mpya haujatangazwa hivyo tuendelee kusubiri kwa wale tusiokuwa na namba ya nida na kibaya zaidi huku mtaani mfumo hushabadilika karibuni huduma zote muhimu zimeunganishwa na namba ya nida.
Lakini ipo hivi ndugu zangu mimi picha nilipiga na taratibu zote nilifata ila baada ya kufatilia namba ndio nikaambiwa alama zangu za vidole zimekuwa duplicated na alama za vidole za wengine na shida ndio ikaanzia hapo.
Daah inaniumiza sana hii issue nimekosa fursa kibao kupitia namba ya nida.