KERO Ukosefu wa Namba ya NIDA unaninyima haki zangu za msingi na inanitia umasikini

KERO Ukosefu wa Namba ya NIDA unaninyima haki zangu za msingi na inanitia umasikini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Pole, yaani fafanua, ni kwamba ulipitia hatua zote za ujazaji Yale maform yao mpaka fingers print, unamaana miaka sita yote hiyo hujawahi pata namba ya NID, nenda kajaze tena upate namba ingine, ni fasts tu, imezidi sana wiki tatu, na kama mkono ukinyooka siku Tatu mpaka saba.
Jaribu kusoma vizuri huo uzi wangu utaelewa
 
Kama hutaki kusaidiwa basi piga kimya.post yako mwenyewe copy itupie tukusaidie bidada.
 
Kama hutaki kusaidiwa basi piga kimya.post yako mwenyewe copy itupie tukusaidie bidada.
Tusifikie huko ndugu maana yangu ulikuwa nzuri tu kwa maana Kila kitu nilielezea kwenye uzi na swali ulilouliza lingejibiwa na uzi kwa ufupisho tu mimi nilishapitia process zote hizo na ndomana nimeamua kuandika uzi ili kama kuna mtu anamsaada anisaidie
 
Ndugu zangu wanaJF, huu ni mwaka wa sita sasa mtanzania mimi nahangaika kupata huduma hii muhimu lakini mpaka sasa nahisi kukata tamaa kwa maana kila nikiuliza naambiwa bado mfumo mpya haujatangazwa hivyo tuendelee kusubiri kwa wale tusiokuwa na namba ya nida na kibaya zaidi huku mtaani mfumo hushabadilika karibuni huduma zote muhimu zimeunganishwa na namba ya nida.

Lakini ipo hivi ndugu zangu mimi picha nilipiga na taratibu zote nilifata ila baada ya kufatilia namba ndio nikaambiwa alama zangu za vidole zimekuwa duplicated na alama za vidole za wengine na shida ndio ikaanzia hapo.

Daah inaniumiza sana hii issue nimekosa fursa kibao kupitia namba ya nida.
Mwenyew Nina tatizo kama lako tangu 2017....nishaenda Hadi makao makuu kuomba kubadilishiwa taarifa ila mpk Sasa hiv hakuna mabadiliko yyte...naomba mweny connection yyte namna ya kupata namba atoe msaada .
 
Ndugu zangu wanaJF, huu ni mwaka wa sita sasa mtanzania mimi nahangaika kupata huduma hii muhimu lakini mpaka sasa nahisi kukata tamaa kwa maana kila nikiuliza naambiwa bado mfumo mpya haujatangazwa hivyo tuendelee kusubiri kwa wale tusiokuwa na namba ya nida na kibaya zaidi huku mtaani mfumo hushabadilika karibuni huduma zote muhimu zimeunganishwa na namba ya nida.

Lakini ipo hivi ndugu zangu mimi picha nilipiga na taratibu zote nilifata ila baada ya kufatilia namba ndio nikaambiwa alama zangu za vidole zimekuwa duplicated na alama za vidole za wengine na shida ndio ikaanzia hapo.

Daah inaniumiza sana hii issue nimekosa fursa kibao kupitia namba ya nida.
Sikia hayo majibu uliyopewa sio kweli nenda kwa mkuu wa kituo hicho ulichojiandikishia,kupata namba sio shida shida ni kitambulisho,nenda kwa mkuu wao ukamwambie utapata namba haraka tu
 
Pole sana,afu sisi ambao hatuna mchongo nazo tumepata kilaiiiiini hadi kitambulisho
 
Nlijaribu Hadi kurefusha mkono ila jamaa alikataa akasema niende makao makuu..nmepeleka barua ya kuomba kubadilishiwa taarifa ila mpk Sasa hakuna feedback yyte...mweny connection naom
 
So kama ni hivyo kwanini serikali iweke namba ya nida kipaumbele kwenye Kila jambo ukiwa kuna matatizo kama haya??
Ndo hapo hata mim kwa kwel nashangaa...kuna jamaa anafanyia mkoani huko alinambia walikaa kikao kwani kuna watu wengi wenye tatizo la taarifa kuingiliana...wengine wamekosea passports na bima za afya kisa Nida...akanambia watakuja na suluhisho ndani ya wiki tatu..ila Sas hivi ni Zaid ya miez mitatu imepita..hamna feedback yyte
 
Aisee hii nchi yetu hii mungu mwenyewe ndio anayejua😔😔😔😔😔
 
Aisee hii nchi yetu hii mungu mwenyewe ndio anayejua😔😔😔😔😔
Yani nishaangaika Hadi nmechoka...nashangaa inashindikana Nini kufuta taarifa za watu waliokosea Ili waanze upya ...Yani huyo mkurugenzi wa Nida ni hopeless kabisa
 
Yani nishaangaika Hadi nmechoka...nashangaa inashindikana Nini kufuta taarifa za watu waliokosea Ili waanze upya ...Yani huyo mkurugenzi wa Nida ni hopeless kabisa
Ipo haja ya serikali kutoa tamko kuwa namba ya nida isiwe lazima kwenye Kila jambo hata anayekuwa na kadi ya mpiga kura pia naye apewe huduma muhimu
 
Bora ingekuwa hivyo ningeshafanya manyuva kitambo

Nenda mahakamani. Tafuta wengine wenye changamoto kama yako mpaze sauti mfungue civil lawsuit against NIDA.

Nchi ya kipumbavu sana hii.
 
Yani picha ishapigwa Kila kitu tayr alafu niende tena nikapige picha wakat wenyewe wanasema kupiga picha mara mbili haiwezekani
kawachanganye kafanye tena wafanyie ubaya ubwela!
 
Yani picha ishapigwa Kila kitu tayr alafu niende tena nikapige picha wakat wenyewe wanasema kupiga picha mara mbili haiwezekani
Siku ukienda jifanye unapiga simu ukiongea na waziri masauni halafu unasema " ndiyo niko nao hapa,, nichukue namba zao ? Halafu unawaambia mhe anataka namba zenu.
 
Back
Top Bottom