Jaribu kusoma vizuri huo uzi wangu utaelewaPole, yaani fafanua, ni kwamba ulipitia hatua zote za ujazaji Yale maform yao mpaka fingers print, unamaana miaka sita yote hiyo hujawahi pata namba ya NID, nenda kajaze tena upate namba ingine, ni fasts tu, imezidi sana wiki tatu, na kama mkono ukinyooka siku Tatu mpaka saba.
Wakili nipo hapa tayari anipe tu instructions tuingie kaziniMimi nishakupa mchongo wewe unashikilia kuumia tu.
Tusifikie huko ndugu maana yangu ulikuwa nzuri tu kwa maana Kila kitu nilielezea kwenye uzi na swali ulilouliza lingejibiwa na uzi kwa ufupisho tu mimi nilishapitia process zote hizo na ndomana nimeamua kuandika uzi ili kama kuna mtu anamsaada anisaidieKama hutaki kusaidiwa basi piga kimya.post yako mwenyewe copy itupie tukusaidie bidada.
[emoji3][emoji3][emoji3]NEEDER ...!!!
Mwenyew Nina tatizo kama lako tangu 2017....nishaenda Hadi makao makuu kuomba kubadilishiwa taarifa ila mpk Sasa hiv hakuna mabadiliko yyte...naomba mweny connection yyte namna ya kupata namba atoe msaada .Ndugu zangu wanaJF, huu ni mwaka wa sita sasa mtanzania mimi nahangaika kupata huduma hii muhimu lakini mpaka sasa nahisi kukata tamaa kwa maana kila nikiuliza naambiwa bado mfumo mpya haujatangazwa hivyo tuendelee kusubiri kwa wale tusiokuwa na namba ya nida na kibaya zaidi huku mtaani mfumo hushabadilika karibuni huduma zote muhimu zimeunganishwa na namba ya nida.
Lakini ipo hivi ndugu zangu mimi picha nilipiga na taratibu zote nilifata ila baada ya kufatilia namba ndio nikaambiwa alama zangu za vidole zimekuwa duplicated na alama za vidole za wengine na shida ndio ikaanzia hapo.
Daah inaniumiza sana hii issue nimekosa fursa kibao kupitia namba ya nida.
Kama issue ya fingerprint hata ukiomba upya tatizo lako haliwez kutatulikaOmba upya,mbona Namba ya Nida unapata chaap Tu labdah Kuna tatizo
Sikia hayo majibu uliyopewa sio kweli nenda kwa mkuu wa kituo hicho ulichojiandikishia,kupata namba sio shida shida ni kitambulisho,nenda kwa mkuu wao ukamwambie utapata namba haraka tuNdugu zangu wanaJF, huu ni mwaka wa sita sasa mtanzania mimi nahangaika kupata huduma hii muhimu lakini mpaka sasa nahisi kukata tamaa kwa maana kila nikiuliza naambiwa bado mfumo mpya haujatangazwa hivyo tuendelee kusubiri kwa wale tusiokuwa na namba ya nida na kibaya zaidi huku mtaani mfumo hushabadilika karibuni huduma zote muhimu zimeunganishwa na namba ya nida.
Lakini ipo hivi ndugu zangu mimi picha nilipiga na taratibu zote nilifata ila baada ya kufatilia namba ndio nikaambiwa alama zangu za vidole zimekuwa duplicated na alama za vidole za wengine na shida ndio ikaanzia hapo.
Daah inaniumiza sana hii issue nimekosa fursa kibao kupitia namba ya nida.
Ndo hapo hata mim kwa kwel nashangaa...kuna jamaa anafanyia mkoani huko alinambia walikaa kikao kwani kuna watu wengi wenye tatizo la taarifa kuingiliana...wengine wamekosea passports na bima za afya kisa Nida...akanambia watakuja na suluhisho ndani ya wiki tatu..ila Sas hivi ni Zaid ya miez mitatu imepita..hamna feedback yyteSo kama ni hivyo kwanini serikali iweke namba ya nida kipaumbele kwenye Kila jambo ukiwa kuna matatizo kama haya??
Aisee hii nchi yetu hii mungu mwenyewe ndio anayejua๐๐๐๐๐Ndo hapo hata mim kwa kwel nashangaa...kuna jamaa anafanyia mkoani huko alinambia walikaa kikao kwani kuna watu wengi wenye tatizo la taarifa kuingiliana...wengine wamekosea passports na bima za afya kisa Nida...akanambia watakuja na suluhisho ndani ya wiki tatu..ila Sas hivi ni Zaid ya miez mitatu imepita..hamna feedback yyte
Yani nishaangaika Hadi nmechoka...nashangaa inashindikana Nini kufuta taarifa za watu waliokosea Ili waanze upya ...Yani huyo mkurugenzi wa Nida ni hopeless kabisaAisee hii nchi yetu hii mungu mwenyewe ndio anayejua๐๐๐๐๐
Ipo haja ya serikali kutoa tamko kuwa namba ya nida isiwe lazima kwenye Kila jambo hata anayekuwa na kadi ya mpiga kura pia naye apewe huduma muhimuYani nishaangaika Hadi nmechoka...nashangaa inashindikana Nini kufuta taarifa za watu waliokosea Ili waanze upya ...Yani huyo mkurugenzi wa Nida ni hopeless kabisa
Bora ingekuwa hivyo ningeshafanya manyuva kitambo
kawachanganye kafanye tena wafanyie ubaya ubwela!Yani picha ishapigwa Kila kitu tayr alafu niende tena nikapige picha wakat wenyewe wanasema kupiga picha mara mbili haiwezekani
Siku ukienda jifanye unapiga simu ukiongea na waziri masauni halafu unasema " ndiyo niko nao hapa,, nichukue namba zao ? Halafu unawaambia mhe anataka namba zenu.Yani picha ishapigwa Kila kitu tayr alafu niende tena nikapige picha wakat wenyewe wanasema kupiga picha mara mbili haiwezekani
Mwenyew nshafika huko lkn mpk Leo hakuna taarifa yoyoteFika NIDA HQ