Ukosefu wa watumishi wa mahakama wilaya ya Ngara

Ukosefu wa watumishi wa mahakama wilaya ya Ngara

valdez

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
315
Reaction score
418
Wilaya ya Ngara ina mahakama nyingi za mwanzo ambazo hazina mahakimu. Unakuta hakimu mmoja anatembelea zaidi ya mahakama tatu hii inashusha weledi kwa kuwa umbali wa kituo kimoja mpaka kingine ni zaidi ya kilomita 30
 
huko waingie mkataba na burundi muhukumiwe na mahakama za burundi
 
Back
Top Bottom