valdez JF-Expert Member Joined Oct 4, 2014 Posts 315 Reaction score 418 May 24, 2026 #1 Wilaya ya Ngara ina mahakama nyingi za mwanzo ambazo hazina mahakimu. Unakuta hakimu mmoja anatembelea zaidi ya mahakama tatu hii inashusha weledi kwa kuwa umbali wa kituo kimoja mpaka kingine ni zaidi ya kilomita 30
Wilaya ya Ngara ina mahakama nyingi za mwanzo ambazo hazina mahakimu. Unakuta hakimu mmoja anatembelea zaidi ya mahakama tatu hii inashusha weledi kwa kuwa umbali wa kituo kimoja mpaka kingine ni zaidi ya kilomita 30
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 May 24, 2026 #2 Duh poleni
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,508 Reaction score 27,663 May 24, 2026 #3 huko waingie mkataba na burundi muhukumiwe na mahakama za burundi