Ukraine iko karibu kukubali imeshindwa kivita.

Kuna warusi walitekwa na Ukraine?
Fuatilia donetsk people's republic and luhansk people's republic ambao wanaongea pure kirusi na culture yao ipo tofauti na wa Ukraine.....waliteswa sana over 8 years ...wakiwa wanasaka kujikomboa wawe kama republic...putin alitangaza kama ni majimbo huru ndani ya ukrain....fuatilia mapigano yao mpaka kusaniwa kwa the minsk agreement
800px-Minsk_Protocol.svg.jpg
 
Mauripol Ukraine waliipaginia kwa nguvu zote ndo bado iko chini ya Ukraine, urussi amerudi nyuma hata Chernobyl, irpin hizo sehemu wameziachia kwa Ukraine inawezekana wanajiroup
Zaidi ya asilimia 70 ya mji wa Maliopol unadhibitiwa na Urusi na Urusi imerazimika kupigana jengo kwa jengo mtaa kwa mtaa baada ya wanajeshi wa Ukraine kuwa wanajificha mwenye nyumba za makazi na kufanya ambush za kushutukiza.
 
Watu wajuaji humu😀😀 Uko Maliopol mtaa gan au tandale😂😂😂
 
Marekani anapitia poland ambapo anakambi yake ya kijeshi kubwa tu black sea ya nin Haina ulazima kwake
Marekani ni mchonganishi tu.Hawezi kitu.Hata akiwa na kambi kubwa haina kazi.Putin ana watu wake wanasubiri amri tu waingie kati akiona ana upungufu wa askari.Yule rafiki yake wa Chechnya ,Ramzan anasema mambo ya mazungumzo ni kupoteza muda bure.Anachotaka yeye ni vita tu. Wengine kutoka Syria kila siku wanateremka.
 
Kama Kambi za kijeshi za marekani Hazina kazi kwanin Russia ana protest kuhusu uwepo wa hizo military base acha ujinga

Na kukusaidia sababu ya urussi kuivamia Ukraine ni baada ya Ukraine kutaka kujiunga NATO na EU na huko kutaipa marekani nafasi ya kujenga Kambi zake za kijeshi ukraine
 
Nikisema hazina kazi ni kuwa kimtazamo si vizuri kuwa na kambi kama hizo jirani yako lakini kwa sasa Marekani inajulikana haina wapiganaji wakweli.Askari wao wameingia woga sana baada kupigana maeneo mengi duniani na kuuliwa sana.Ndio maana kule Afghanistan kulikuwa na kambi kubwa zeny kila zana wakakimbizana na kuacha kila kitu. Utasemaje hapo?.
 
Mtu amekaa apo tandale anakuambia marekani Haina kitu, kama ni hivyo urussi asingehangaika na Ukraine kujiunga NATO kama marekani sio chochote

Kwani urussi hataki marekani ijenge Kambi za kijeshi Ukraine kwa hiyo wewe una akili kuliko intelligence ya Russia na Putin
 
Kitendo cha urusi kuenda kukodi wapiganaji nchi za kiislam inamaana hiyo vita yeye tayari imeisha mshinda. na imeidhihilishia dunia kwamba yeye mrusi ni chupi tu.
 
Mtu amekaa apo tandale anakuambia marekani Haina kitu, kama ni hivyo urussi asingehangaika na Ukraine kujiunga NATO kama marekani sio chochote

Kwani urussi hataki marekani ijenge Kambi za kijeshi Ukraine kwa hiyo wewe una akili kuliko intelligence ya Russia na Putin
Ni sawa na USA alipomwomba RUSSIA atoe kambi zake za kijeshi pale Cuba, basi vise versa is true na wote hao RUSSIA na USA wanafahamiana vizuri tu ubabe wao wa kijasusi, kiteknolojia na kivita.
 
Fuatilia donetsk people's republic and luhansk people's republic ambao wanaongea pure kirusi na culture yao ipo tofauti na wa Ukraine.....waliteswa sana over 8 years ...wakiwa wanasaka kujikomboa wawe kama republic...putin alitangaza kama ni majimbo huru ndani ya ukrain....fuatilia mapigano yao mpaka kusaniwa kwa the minsk agreement View attachment 2172407
No mi ni layman tu hapa.

Kwahiyo Ukraine aliteka maeneo mawili yanayokaliwa na warusi? Muda huo Urusi alikua wapi?

Na ndo kaja kuyakomboa hayo maeneo mwaka huu tangu hiyo miaka nane iliyopita?

Sasa wewe unasema wao lengo ni kukomboa hayo maeneo mawili lakini mbona Putin hakusema kama hili ndiyo lengo?
 
Ni sawa na USA alipomwomba RUSSIA atoe kambi zake za kijeshi pale Cuba, basi vise versa is true na wote hao RUSSIA na USA wanafahamiana vizuri tu ubabe wao wa kijasusi, kiteknolojia na kivita.
Toka huu mgogoro umeanza, leo nimekupa like mkuu, umesema vyema.

Mimi sipendi ile hali ya kuiunderrate US, yaani tunaiona ni kama UK au German au France. Wakati US kijeshi yupo mbali mno, hata mchina mwenyewe hafui dafu nusu yake.

Sio US sio Russia, kila mmoja ana mhofu mwenzie kutokana na Teknolojia ya silaha aliyokuwa nayo.
 
Back
Top Bottom