Usichokielewa ni kwamba;
Marekani ni nchi chokozi,vamizi na wezi wa rasilimali za nchi nyingine. Hivyo analazimika kuwa na jeshi kila mahali ili kufikia malengo yake.
Pia uwezo wa silaha zake kuishambulia Russia moja kwa moja tokea Marekani,itachukua muda. Hivyo analazimika kujisogeza karibu na Russia kila upande.
Kwa ufupi jeshi la Marekani limeundwa kwa mfumo wa kuwa chokozi na la kuahambulia.
Russia jeshi lake ni la kujilinda. Sio chokozi. Hana haja yakuwa na kambi nyingi nje. Ye hukushambulia unapokuwa kitisho kwake.
Kwa sababu hizo,lazima jeshi la Marekani liwe na bajeti kubwa. Ukizingatia makampuni yanayotengeneza silaha zake ni yakibiashara. Wakati Urusi makampuni yanayotengeneza silaha yanamilikiwa na serekali.
Ya Marekani yanaiuzia serekali kwa faida.
Ya Urusi yanatoa huduma
Sent from my SM-G5500 using
JamiiForums mobile app