mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Agenda ya nchi za Magharibi kuidhoofisha urusi kwa kuitumia ukraine hasa ilianza tangu mwaka 2014 baada ya kumpindua Rais aliyekuwa wa mlengo wa Urusi.
Tangu wakati huo nchi za Magharibi zimekuwa zikiipa Ukraine silaha na mafunzo ya kijeshi ili hatimaye ukraine itiwe kiburi kukataa makubaliano ya amani chini ya, mkataba wa minsyk. Ukraine ikatiwa kiburi kukataa kuwa nchi neutral kijeshi.
Kwa kufanya hivyo nchi za magharibi zilijua kabisa kuwa zinaisukuma ukraine kuvuka mstari mwekundu wa Urusi hivyo walikuwa na uhakika kuwa Urusi lazima itaishambulia Urusi.
Kwa hiyo nchi za Magharibi zikawa zimejiandaa kuipatia silaha ukraine mfululizo zikiamini kuwa kwa kufanya hivyo hatimaye urusi itazidiwa nguvu.
Lakini kinyume chake ukraine kila siku analilia silaha utafikiri huwa hapewi silaha! Muda huu jimbo la Donbas karibu lote linakombolewa!