Ukraine imejikuta katika wakati mgumu wa kulazimika kuzikubali ndoa za jinsia moja. Misaada ya mabeberu ni sumu

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Kwa kawaida Ukraine ilikuwa na msimamo kama wa Urusi wa kutokuruhusu ndoa za jinsia moja. Lakini mabeberu wa nchi za magharibi wametumia kipindi hiki ambacho Ukraine inataka kuingia kwenye Umoja wa nchi za Ulaya EU, na iendelee kupata misaada ya kijeshi katika vita yake na Urusi, kuibana ukraine ili ikubali ndoa za jinsia moja.

Hii ni onyo kwa uelekeo wetu kwa sasa maana kasi ya nchi yetu kutafuta fedha huko nje imeongezeka sana. Majirani zetu wa Malawi tayari walishaingia kwenye huo mtego kipindi walipata raisi wa KIKE! Yule mama alibanwa akajikuta wamekubali kuruhusu ndoa za jinsia moja, kisa wapewe misaada!! Sasa hivi huko Ukraine kuna wimbi kubwa sana la mashoga kushinikiza waruhusiwe rasmi.

Rais Zelensky keshasema tayari kuwa anatazamia kuruhusu ndoa hizo chafu!! Ona mashoga wameshaanza tayari kujinafasi hadharani huko ukraine na Zelensky hana ubavu wa kuwakemea, vinginevyo asipewe silaha na asiruhusiwe kujiunga na EU.

Ukraine to consider legalising same-sex marriage amid war.​

Kyiv's Pride parade in 2019 was the largest and most peaceful Pride event the country had seen.

A petition in Ukraine calling for same-sex marriage to be legalised has gained enough signatures for the president to consider the proposal.
 
... Russia ushoga umeruhusiwa kisheria; zingatia kwanza hilo!
 
Kuna wengine huku
JamiiForums1977886362_682x450.jpg
 
Back
Top Bottom