Ukraine inao wa kuwasaidia, Russia vilevile, hawa wapalestine hawana faida Duniani? Mbona ni tofauti na yalivyo mataifa mengine yaliyo na vita?

Bw. Kosugi

Wewe ni mjuzi wa siasa za mashariki ya kati. Mawazo haya unayaonaje?
Kwa mtazamo wangu na ambao ndio naona ni uhalisia mkuu Saudi Arabia ndiye anayeipa uhai OIC-Organisation of Islamic Cooperation.
Baada ya Egypt kupoteza nguvu OIC Saudi Arabia ndiye anayeshika usukani wa OIC.
Hakuna taifa hata moja la kiarabu linalolichukia Saudi Arabia.
Mashariki ya kati Iran ndio taifa lililokua lina mahasimu wengi kwasababu ya Ushia na Usunni ukiachana na Israel.
Japo sasa hivi nayo yanaomba maridhiano na Iran,kama Bahrain juzi katuma ombi la kutaka maridhiano na Tehran.
Kuna sababu zinazoifanya waarabu wasiungane kivita pale middle east nitaja zieleza.
 
Hicho kizazi hakitaisha
mkuu Wala sio lengo lao!

Lengo lao na threat kubwa kwao ni sisi cheusimangala ambao tuna nasaba resistance kwao kuliko ya kwao !
 
Bw. Kosugi, usinielewe vibaya tafadhali maoni yako nitayapitia baadaye na kuchangia.

Nimepanda daladala sikupanda muda kiasi, nimechoka! Imenichosha kweli viungo vinaniuma na foleni za barabarani hizi safari inakuwa karaha.
 
Bw. Kosugi, usinielewe vibaya tafadhali maoni yako nitayapitia baadaye na kuchangia.

Nimepanda daladala sikupanda muda kiasi, nimechoka! Imenichosha kweli viungo vinaniuma.
Sawa mkuu.
Huwenda una maarifa zaidi kaka uje utufahamishe.
Ila uelewa wangu umeishia hapa kaka.
 
Nilichogundua hapa jf siku hizi ni Kama Facebook tu watu hawana uwezo wa kufikiri tena! Kati ya Israel na palestinians nani anaishi kwa shida?

Mmeshindwa kulinda rasilimali zenu ndo maana mzungu anachukua kwa ulaini hana haja ya kupigana ili azipate

Sometimes bora hata Congo anachukua mali kwa shida
Wanaume wanaipigania amani ukiona upo na amani full ujue hapo kichwani ni fuvu tuu lipo.

Kwanza taifa la kiyahudi toka enzi na enzi hawajawahi kuishi kwa amani wao vita na mazongezonge wameshayazoea Ogopa Sana jamii ya aina hiyo.
 
Arabs wasaidiwe kwao pale kwani? And wanaishi kwa misaada ndio inawatia kuburi...
Unaweza ukaleta ushahidi kama pale sio kwao!?
Pia unaweza ukaleta ushahidi wa wao kuishi kwa misaada!?

Tunasubiri majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…