Kwa mtazamo wangu na ambao ndio naona ni uhalisia mkuu Saudi Arabia ndiye anayeipa uhai OIC-Organisation of Islamic Cooperation.
Baada ya Egypt kupoteza nguvu OIC Saudi Arabia ndiye anayeshika usukani wa OIC.
Hakuna taifa hata moja la kiarabu linalolichukia Saudi Arabia.
Mashariki ya kati Iran ndio taifa lililokua lina mahasimu wengi kwasababu ya Ushia na Usunni ukiachana na Israel.
Japo sasa hivi nayo yanaomba maridhiano na Iran,kama Bahrain juzi katuma ombi la kutaka maridhiano na Tehran.
Kuna sababu zinazoifanya waarabu wasiungane kivita pale middle east nitaja zieleza.