mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kuna hili jambo linalozihusu Urusi, Ukraine na Ujerumani. Ujerumani inaitaka sana gesi ya urusi kwa ajili ya uchumi wake. Viwanda vingi hata vile vya kijeshi vinatumia umeme unaotokana na gesi toka Urusi. Inabidi iendelee kupata gesi hiyo ili uchumi wake uendelee kuwa vizuri hata imudu kuisaidia ukraine zana za kivita. Lakini japokuwa Ukraine inataka na kudai kusaidiwa zana nzito za kijeshi toka ujerumani, lakini haitaki ujerumani ipate gesi toka urusi. Ujerumani ikikosa gesi hiyo inaumia sana. Lakini Ukraine iko radhi ujerumani iumie kiuchumi na muda huo huo inategemea isaidiwe zana za kijeshi.
Najiuliza hawa ukraine wana akili kweli au vipi? Ni sawa na mtoto anayetaka kupewa pesa na baba yake lakini hataki baba yake atoke nyumbani kwenda kufanya kazi! Sasa huyu mtoto anafikiri baba atawezaje kumpa pesa bila kufanya kazi? Huu ubinafsi wa ukraine unatia kinyaa. Ukraine imewatumia raia wake wanaoishi kanada kuweka zuio mahakamani ili kifaa muhimu katika kuwezesha urusi kusafirisha gesi hadi ujerumani kwa njia ya bomba kisirudishwe ujerumani na ujerumani kuipatia urusi ili ujerumani iendelee kupata gesi ya kutosha. Je ujerumani itaiona ukraine ni rafiki au adui?
Tatizo ni kwamba ukraine haiikomoi Urusi bali inaikomoa ujerumani maana urusi ina wateja wengine. Kwa mfano urusi imepata pesa nyingi zaidi mwezi juni kuliko mwezi mei kwa kuuza mafuta na gesi kidogo lakini kwa bei kubwa zaidi, halafu inawacheka waweka vikwazo haina mbavu!
Russia’s oil export revenue surged above $20 billion in June thanks to rising energy prices and despite lower shipments abroad, the International Energy Agency (IEA) said in its monthly oil market report on Wednesday.
The agency’s statistics showed an increase of $700 million in June from the previous month, even as Russia’s daily exports of crude oil and products fell by 250,000 barrels to 7.4 million barrels, the lowest since August.
Najiuliza hawa ukraine wana akili kweli au vipi? Ni sawa na mtoto anayetaka kupewa pesa na baba yake lakini hataki baba yake atoke nyumbani kwenda kufanya kazi! Sasa huyu mtoto anafikiri baba atawezaje kumpa pesa bila kufanya kazi? Huu ubinafsi wa ukraine unatia kinyaa. Ukraine imewatumia raia wake wanaoishi kanada kuweka zuio mahakamani ili kifaa muhimu katika kuwezesha urusi kusafirisha gesi hadi ujerumani kwa njia ya bomba kisirudishwe ujerumani na ujerumani kuipatia urusi ili ujerumani iendelee kupata gesi ya kutosha. Je ujerumani itaiona ukraine ni rafiki au adui?
Tatizo ni kwamba ukraine haiikomoi Urusi bali inaikomoa ujerumani maana urusi ina wateja wengine. Kwa mfano urusi imepata pesa nyingi zaidi mwezi juni kuliko mwezi mei kwa kuuza mafuta na gesi kidogo lakini kwa bei kubwa zaidi, halafu inawacheka waweka vikwazo haina mbavu!
Ukrainian lobby group sues Canada over Russia sanctions waiver
The Ukrainian World Congress wants a court injunction to prevent the return of a German gas turbine to Gazprom.Russia’s oil export revenue surged above $20 billion in June thanks to rising energy prices and despite lower shipments abroad, the International Energy Agency (IEA) said in its monthly oil market report on Wednesday.