sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Yani Hakuna haja ya kutafuta, wakifika huko watakuta kuna foleni tayari inawasubiri kuanzia wajita, wakurya, wajaluo, Wazanaki, Wangoreme, Wasuba, Waikizu, Waisenye, Waikoma, Wakwaya, Waluli, Washashi, Wanata na Wasweta.
Hata kipindi cha vita ya Kagera, kila mkoa ulipewa nafasi elf 2 za vijana.wanaotaka kwenda vitani lakini hizo nafasi zilikuwa chache sana kwa Mkoa wa Mara, zilishambuliwa kama mchele uliorushwa kwa kuku wenye njaa.
Ajabu ni kwamba mikoa mingine hizo nafasi elf 2 hazikujaa kwahio wale watu wa Mara waliokosa nafasi mkoa wao ikabidi waanze kusafiri kwenda mikoa mingine ili kujaza nafasi zilizowazi.
Hali hii ilipelekea mpaka mkoa wa Mara wapewe upendeleo maalum kwa kuongezewa nafasi ziwe nyingi katika mkoa wao lakini bado zilishambuliwa.
Linapokuja swala la kupenda jeshi hawa jamaa huwaambii kitu.
Serikali ya Ukraine iende huo mkoa itoe hata nafasi elf 5 nina uhakika zitashambuliwa haraka mno.