Ukraine kapigwa na kitu kizito wapoteza zaidi ya wanajeshi 600

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Zaidi ya Mwanamgambo 600 wa Ukraine waliokua katika shule yaafunzo ya Kijeshi wameuwawa baada ya Shambulio la Iskender toka Russia

Kulingana na aliyekuwa mbunge wa Ukraine, Igor Mosiychuk (ambaye anachukuliwa kuwa gaidi na mhalifu na Urusi), jeshi la Ukraine limepoteza zaidi ya wanajeshi 600 kutokana na shambulio la Urusi kwenye shule ya kijeshi huko Poltava. Mosiychuk alieleza kupitia kituo chake cha Telegram kwamba:

"Poltava. <…> Taasisi ya Mawasiliano. Watu wengi walijeruhiwa, hadi 500, na kadhaa walifariki. Hospitali za jiji zimejaa," aliandika.

Mosiychuk aliongeza kuwa lawama kwa kilichotokea zinapaswa kuelekezwa kwa mamlaka za kijeshi za Ukraine, ambazo ziliruhusu idadi kubwa ya wanajeshi kukusanyika mahali pamoja.

⚑️ Ukrainian troops have lost more than 600 militants (severely injured and deaths combined) in a Russian attack on a military school in Poltava. This was reported by former Verkhovna Rada deputy Igor Mosiychuk

 
Wakati Sweden imepoteza wanajeshi wake waliokua wakitoa mafunzo kinyemela katika shule hiyo.

πŸ‡ΈπŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡ΊπŸš¨β€ΌοΈ BREAKING: Swedish instructors killed!

Multiple Swedish instructors were killed in the missile strike on the communication troop training center in Poltava.

-> Britta Ellwanger, a foreign volunteer working with the Ukrainian Army and studying with the deceased instructor at a Swedish university.

Reminder, that it was Sweden that planned to supply two ASC 890 AWACS aircraft, the training of whose onboard personnel corresponds to the profile of the training center.

The missile strike on Poltava is extremely successful from the military perspective.
 

Attachments

  • IMG_20240903_222106.jpg
    35.4 KB · Views: 5
Aljazeera yasema ni raia 50 ndo wamekufa kwenye chuo cha mawasiliano sio military academy.
 
Hii inaitwa mwana ukome,safi sana yaani shetani lazima ashindwe
 
Vita ni upumbavu.

Siwezi kufa halafu kuna mafala mawili wanasiasa yamekaa ofisini kwenye viti vya kuzunguka yana wacheki tu mnavyo uana.

Kazi ya uanajeshi ni kazi ya kipumbavu kuwahi kutokea duniani.
Zelensky anaomba mchango wa damu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡Ίβ€ΌοΈπŸš¨ There are already 190 dead in the Poltava Military School of Communications.

Mosiychuk reported that there are more than 600 killed and wounded in Poltava in total.
-> Plus Swedish instructors were hit.

The most effective strike of the war so far.
 

Attachments

  • IMG_20240903_223143.jpg
    53 KB · Views: 5
Igor Mosiychuk, a former MP and deputy commander of the notorious neo-Nazi Azov regiment, claimed that the attack may have resulted in up to 600 casualties. While blaming Russia for the strike, he also said the military command bears some responsibility for allowing so many high-value soldiers to be in one place without shelter.

The Russian Defense Ministry has not yet commented on the strike. In the absence of official information, rumors circulating on Russian social media have alleged the presence of NATO instructors at the school, including some from Sweden.
 
Sasa habar inatoka RT unahisi inaweza kubalance hiv unafamu watu 600 wanakuwaje?....maafa au kufa Kwa askari kawaida sana kwenye mapigano
 
Nakukumbusha tu Ukraine bedo wapo kursk[emoji1787]
 
Hao mbona wachache.....Hamas aliuwa watu 1200+ kwa tukio moja. Na style ya kuuwa ni ile tuliyoiona wakati akiuwawa Joshua Mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…