Ukraine kapigwa na kitu kizito wapoteza zaidi ya wanajeshi 600

Aljazeera yasema ni raia 50 ndo wamekufa kwenye chuo cha mawasiliano sio military academy.
Hao raia walikuwa wanafanya Nini humo military academy?hao huwa hawakubali ukweli hata wakipgwa missiles wanasema wamezitungua halafu baadae wanajisahau wanaonyesha mitambo ya umeme inavyoungua wakati wamesema wamezitungua drones na missiles
 
Vita ni upumbavu.

Siwezi kufa halafu kuna mafala mawili wanasiasa yamekaa ofisini kwenye viti vya kuzunguka yana wacheki tu mnavyo uana.

Kazi ya uanajeshi ni kazi ya kipumbavu kuwahi kutokea duniani.
1000179707.jpg
 
Zaidi ya Mwanamgambo 600 wa Ukraine waliokua katika shule yaafunzo ya Kijeshi wameuwawa baada ya Shambulio la Iskender toka Russia

Kulingana na aliyekuwa mbunge wa Ukraine, Igor Mosiychuk (ambaye anachukuliwa kuwa gaidi na mhalifu na Urusi), jeshi la Ukraine limepoteza zaidi ya wanajeshi 600 kutokana na shambulio la Urusi kwenye shule ya kijeshi huko Poltava. Mosiychuk alieleza kupitia kituo chake cha Telegram kwamba:

"Poltava. <…> Taasisi ya Mawasiliano. Watu wengi walijeruhiwa, hadi 500, na kadhaa walifariki. Hospitali za jiji zimejaa," aliandika.

Mosiychuk aliongeza kuwa lawama kwa kilichotokea zinapaswa kuelekezwa kwa mamlaka za kijeshi za Ukraine, ambazo ziliruhusu idadi kubwa ya wanajeshi kukusanyika mahali pamoja.

⚡️ Ukrainian troops have lost more than 600 militants (severely injured and deaths combined) in a Russian attack on a military school in Poltava. This was reported by former Verkhovna Rada deputy Igor Mosiychuk

Uongo mtupu, wanajeshi 600 hawawez ekwa eneo 1 na huna chanzo chochote zaidi ya picha za ku-copy na paste, shame on you..! wahuni 1500 wako ndani ya ardhi ya Urusi ambaye alijiita mbabe wa dunia na sasa Ukrane wamejenga hadi base ya kijeshi ndani ya ardhi ya urusi na wanasema wakipewa amri watafika hadi Moscow aliko babako
 
Putin invited to inauguration of Mexico’s new president

The Russian president will make a decision whether he will participate in the ceremony himself or designate another high-ranking official

MOSCOW, August 7. /TASS/. Russian President Vladimir Putin has been sent an invitation to the inauguration ceremony of Mexico’s new President Claudia Sheinbaum on October 1, the Mexican Embassy in Moscow told Izvestia.

"The invitation for Russia to take part in the inauguration of President Sheinbaum was sent to President Putin.
 
Bwana mkubwa lakini imeelezws wazi hapo ni shule ya mafunzo ya kijeshi huoni kama ni lazima wawe eneo moja?
 
Uongo mtupu, wanajeshi 600 hawawez ekwa eneo 1 na huna chanzo chochote zaidi ya picha za ku-copy na paste, shame on you..! wahuni 1500 wako ndani ya ardhi ya Urusi ambaye alijiita mbabe wa dunia na sasa Ukrane wamejenga hadi base ya kijeshi ndani ya ardhi ya urusi na wanasema wakipewa amri watafika hadi Moscow aliko babako
Hiyo ni shule ya kijeshi,wakifundishana jeshi na askari wa nato, shule haiwezi kuwa na watu 600!?
 
Wanajeshi 600 hawawez kaaa sehem moja ukizingatia nchi iko uwanja wa vita
 
Shida ya wajukuu wa mudi badala ya kumchukia ibilisi wao ibilisi wao ni america na kila siku wanaomba visa za kwenda kuishi huko america sasa tuwaeleweje sisi Hamas anauwa Israel watoto na wamama ila palestinians mmoja akifa oohoo israeli inauwa watoto je mtoto wa Israel na raia wa Israel ni haki wao kuwawa
Marekani ndio waliouwa hao watu 600 hap
 
Putin invited to inauguration of Mexico’s new president

The Russian president will make a decision whether he will participate in the ceremony himself or designate another high-ranking official

MOSCOW, August 7. /TASS/. Russian President Vladimir Putin has been sent an invitation to the inauguration ceremony of Mexico’s new President Claudia Sheinbaum on October 1, the Mexican Embassy in Moscow told Izvestia.

"The invitation for Russia to take part in the inauguration of President Sheinbaum was sent to President Putin.
Mexico ile ile iliyopo takoni mwa USA ambapo Trump alitaka kuwazuia na ukuta au ya bara lingine?? Kam ndo ile basi huo mtego.
 
Uongo mtupu, wanajeshi 600 hawawez ekwa eneo 1 na huna chanzo chochote zaidi ya picha za ku-copy na paste, shame on you..! wahuni 1500 wako ndani ya ardhi ya Urusi ambaye alijiita mbabe wa dunia na sasa Ukrane wamejenga hadi base ya kijeshi ndani ya ardhi ya urusi na wanasema wakipewa amri watafika hadi Moscow aliko babako
Unateseka ukiwa wapi mkuu 😂
 
Zaidi ya Mwanamgambo 600 wa Ukraine waliokua katika shule yaafunzo ya Kijeshi wameuwawa baada ya Shambulio la Iskender toka Russia

Kulingana na aliyekuwa mbunge wa Ukraine, Igor Mosiychuk (ambaye anachukuliwa kuwa gaidi na mhalifu na Urusi), jeshi la Ukraine limepoteza zaidi ya wanajeshi 600 kutokana na shambulio la Urusi kwenye shule ya kijeshi huko Poltava. Mosiychuk alieleza kupitia kituo chake cha Telegram kwamba:

"Poltava. <…> Taasisi ya Mawasiliano. Watu wengi walijeruhiwa, hadi 500, na kadhaa walifariki. Hospitali za jiji zimejaa," aliandika.

Mosiychuk aliongeza kuwa lawama kwa kilichotokea zinapaswa kuelekezwa kwa mamlaka za kijeshi za Ukraine, ambazo ziliruhusu idadi kubwa ya wanajeshi kukusanyika mahali pamoja.

⚡️ Ukrainian troops have lost more than 600 militants (severely injured and deaths combined) in a Russian attack on a military school in Poltava. This was reported by former Verkhovna Rada deputy Igor Mosiychuk

Hapo hao 600 umewapataje?
 
Back
Top Bottom