Ukraine kapigwa na kitu kizito wapoteza zaidi ya wanajeshi 600

🚮 🚮🚮
Propaganda
 
Iskander missiles mbili zimetosha kumaliza biashara!Bado Satan II zipo stock,hizo zikitumika Ukraine itakuwa vumbi tu.Very poor Zelesky,selling the country.
 
Hiyo ni shule ya kijeshi,wakifundishana jeshi na askari wa nato, shule haiwezi kuwa na watu 600!?
Ni akili gani za kijinga ukawakusanye askari 600 mahali pamoja nchi yenye vita, ili wakifa wafe wote kwa pamoja mnakuja na uongo hapa kila time
 
Bwana mkubwa lakini imeelezws wazi hapo ni shule ya mafunzo ya kijeshi huoni kama ni lazima wawe eneo moja?
Chanzo cha habari hizi zinapatikana wapi? Televishen gani? Ivi putin auwe askari 600 wa Ukraine asitoke nje na kusema chochote
 
Chanzo cha habari hizi zinapatikana wapi? Televishen gani? Ivi putin auwe askari 600 wa Ukraine asitoke nje na kusema chochote
Unakubali kwamba iliyopigwa ni shule ya mafunzo ya kijeshi na ilikua na makuruta? Ukikubali hivyo basi elewa kilichoandikwa
 
Ni akili gani za kijinga ukawakusanye askari 600 mahali pamoja nchi yenye vita, ili wakifa wafe wote kwa pamoja mnakuja na uongo hapa kila time
Askari 600 si wengi kuwepo kambini
 
Tumia hata akili yako vizuri! Inaonekana umejaa na Mihemko ya Kijinga. Kwa akili ya kawaida tu unawauaje askari 600 kwa mpigo? Jiulize kuna darasa la kuwaweka watu 600? Acha ujinga usifikiri wote ni Mazuzu kama wewe. Karibu vyombo vyote vya habari vimetaja idadi 47 mpaka 50. Hao 600 naona ni wewe na ukoo wako wote!!
 
Hao mbona wachache.....Hamas aliuwa watu 1200+ kwa tukio moja. Na style ya kuuwa ni ile tuliyoiona wakati akiuwawa Joshua Mtanzania
Kama hivi,😂😂😂
 

Attachments

  • Wadadbouchra_480x854_20240602_164016.mp4
    7.3 MB
Kwa kweli ni pigo kwa Ukraine na Wafadhiri wake!
 
Usiwe mjinga kupitiliza Acha utoto uliona wapi darasa la watu 600?
Shule niliyosoma advance tulikua 1000+ kwani lazima wakae darasa moja,madarasa yanaweza yakawa mengi kuna mkondo A mpaka Z huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…